Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ajira kibao wametangaza changamkieni fursa wapeni na hao shakahola link wafanye application waweke ugali mezani pia. Mambo yakiharibika huko kwao hata hapa patakuwa hapakaliki.

Tubebane hivyo hivyo ndugu zetu hawa japo ni nyagau lakini mtu huchagui ndugu wala jirani.
Hawawezi kupewa kazi Tanzania, mchujo ni mkali balaa, sio tu mkenya hata mtanzania kama hutoki hilo eneo la mradi (locality) na huna NIDA usahau ajira 😂😂😂
 
Nairobi tu CBD kuna nyumba za tope
Alisikika bongolala akisema
images (100).jpeg
 
Ajira kibao wametangaza changamkieni fursa wapeni na hao shakahola link wafanye application waweke ugali mezani pia. Mambo yakiharibika huko kwao hata hapa patakuwa hapakaliki.

Tubebane hivyo hivyo ndugu zetu hawa japo ni nyagau lakini mtu huchagui ndugu wala jirani.
Wewe mpuuzi wa wapi? Hawa wapumbavu watahujumu mradi!
 
Wadhamini kutoka Mwenge Bus Stand 🔥🔥

Kunyaland wangeita International iconic mall of Nairobi 😂😂😂
View attachment 2815476View attachment 2815477View attachment 2815478
Serikali yetu inajenga miundo mbinu kuanzia kuwapa ahueni watu wa hali chini,shida inakuja kwenye kuziendesha na kuzitunza,ile stand ya daladala mbezi luis ni nzuri sema sasa uchafu,uongozi wa mikoa na manispaa wangekua wanapewa watanzania walioshi nje ya bara la afrika si chini ya miaka 5 at least wangefanya jambo
 
Back
Top Bottom