ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,072
- 3,227
Waombe alshababu wasiwakute maana wataolewa 🏃♂️
Waombe alshababu wasiwakute maana wataolewa 🏃♂️
😂😂😂Na wanatumia Maji ya Magadi 😂😂😂😂😂,
Kapimwe akili wewe, au sio riziki wewe?Kwa Mabasi Tanzania bado mko nyuma. Ama kama mlikuwa mbele basi mshaachwa. Leo tu Mombasa Road jam ikashika. Ona Mabasi
View attachment 2812278View attachment 2812279View attachment 2812280
Wapo sensitive sana kwenye salty water 😂😂😂 sijawahi kumsikia mtanzania akiulizia sabuni nzuri kwenye maji chumvi 😂😂 hii inaelezea jinsi walivyo na shida ya clean waterNa wanatumia Maji ya Magadi 😂😂😂😂😂,
🤣🤣🤣 Vujumba vidogodogo kibao+industrial area bembeni ya CBD 🤣🤣🤣 the city of it's kind on earth.MOMBASA IS MASSIVE...WEH!!!
View attachment 2814579
7 towers of 20 floors each. Imagine how six towers of GTC changed Westlands, now these are seven in Kilimani
View attachment 2813235
View attachment 2813237View attachment 2813238
Hapa ni Shekilango na Urafiki.Kwa wale wakali wa location, hii ni Dar es salaam mtaa gani.? View attachment 2814661
Hakuna mbongo kilaza humu mjomba. Hatuwezi pigizana kelele na renderMbona walipita hii kimya kimya? 😂 😂 😂
So huoni hiyo ongoing construction?….. wow! Bongolala wow!!!Hakuna mbongo kilaza humu mjomba. Hatuwezi pigizana kelele na render
Na Mv Victoria? Kajenga yeye? Mkatoe yale maneno Hapa Kazi Tu! Mv Ukerewe pia? Mna upuuzi sana watu humu ndani!Magufuli kajenga Mv mwanza hapa kazi tu from the scratch na ndiyo maana ikapewa hilo jina.
Ubungo Urafiki hapoKwa wale wakali wa location, hii ni Dar es salaam mtaa gani.? View attachment 2814661