GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
Nimemsikiliza kaka, kwanza kbs ATCL iko salama mikononi mwa Kiongozi huyu plus TGFA wanae CEO 👍🏾, juu ya ujenzi wa T4. bado ni mpango which is good , mimi ningeshauri wangerudi kwenye ule mpango wa wafaransa (Expansion and Modernization of TB2) ATCL alipewa kila priority tena kutokana na matakwa yao. T4 isubiri kdg maana tunahitaji kufanya kitu chenye uhakika wkt ukifika.