Kwa nini isitungwe sheria Ili iwe amri badala ya kumwachia Mwekezaji aamue atakavyoona yeye inafaa?
View: https://twitter.com/MadiniTanzania/status/1724280910185411065?t=KCjWmRQJhpdHIz3f7VHIxw&s=19
Jibu lake hilo hapo ulishalisemaga. Ila kwa sababu ya ufinyu wa akili hukumbuki unachoongeaJibu alitoa Rostam kwamba Mwekezaji anatafuta mahala ambapo anaamini pesa yake inaweza kuwa salama baada ya uamzi.
Kwamba Mahakama za ndani mara nyingi zinaingiliwa hivyo Wakuu wanaweza piga simu au mpa jaji maelekezo kwamba ya uamzi vinginevyo hana kazi,rejea Kauli za Jiwe kwamba Serikali ilishindwa tena kesi Jaji na mawakili hamna kazi.
So Mimi nadhani ni kutafuta watu competent na wazalendo wanaoweza kuipogania Nchi vizuri tofauti na hapo watachukua pesa Nchi ishindwe.
Mwisho tuepuke au kupunguza mazingira yanayoweza tupelekea kwenye kesi kadiri inavyowezekana
Is this CBD ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijabisha chochote, kwakua hakuna taarifa rasmi toka China or Serikalini kuhusu SGR.hamna SGR pale! Ni ubishi wenu tu!
hii kama Mombasa tuBefore utaje taje masaki kwanza u need to know masaki ni hii hapa 👇View attachment 2813637when driving to Masaki 👇View attachment 2813638View attachment 2813643View attachment 2813644usiokote okote kila mtaa ukataka kulinganisha na Masaki, usilete story kama hizi .. kisa diamond platnumz ni bora zaidi ya wasanii wote sasa imekua kila kijimsanii kinachojitahidi kinataka kujitaja in the same sentence with him. 🤣🤣
Rostam alikuwa anazungumzia Mahakama ya kusuluhisha/kuamua kesi kama ikitokea kutoelewana baina ya pande mbili.Jibu lake hilo hapo ulishalisemaga. Ila kwa sababu ya ufinyu wa akili hukumbuki unachoongea
Wachana na hayo mafuriko, tizama basi la shule kwenye hii video. 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1724357338658635823?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Kwenye soka sisi sio level yao kabisa, kote kote kuanzia men mpk women.Mbona nyang'au siwaoni?😁
Wachana na hayo mafuriko, tizama basi la shule kwenye hii video. 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1724357338658635823?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
🤣🤣🤣🤣inaitwa kunyalandDuh bado wana buses zenye carrier juu 🤣🤣🤣
Hii nchi itasaidiwa na nani yawaa😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii nchi itasaidiwa na nani yawaa😅😅😅
Utasema watoto yatima
Makopolo original imenusurika😅😅🙌🙌
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1724376690816647256?t=vmEqZVymoKXJwuRRpDQYCA&s=19
Al Shaabab wamewaona hawa? Ikilia paah watapiga mbizi bila kupenda!