Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,944
- 103,824
Ila naona kama vile wange-concentrate resources Butiama kwanza! Kiwe chuo cha at least 5000 students!Ujenzi unaendelea wa Upanuzi wa Vyuo na Ujenzi wa Kampasi Mpya Kwenye Mikoa yote Tanzania.
Kazi imeanza Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha Mwl.Nyerere Butiama
![]()
Sh45.9 bilioni kujenga miundombinu Chuo Kikuu cha Julius Nyerere
Tayari Serikali imetoa zaidi ya Sh103 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya chuo hicho yakiwemo majengo 21 yanayotarajiwa kujengwa katika kampasi Kuu ya Butiama...www.mwananchi.co.tz