Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Hiki kitu ku-modernize Tanga port ni idea nzuri sana ya serikali ya mwendazake! Hamna kitu Mombasa port itaona juu ya mradi wa EACOP!
BTW imempa Museveni guts za kuvimba! Ndo maana hata fuel importation ya Uganda imekuwa diverted to Tanzania! Watu wa middle income wamebaki wanaangaliana!
Hapa Mama aangalie mradi wa SGR Isaka-Mutukula!