Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeanza kuelewa somo 😁😁😁😁

Bado Hujasema Hadi useme maana una ujumbe wako kutoka Kwa Makonda hapa 👇

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1724831226849006079?t=UJMz_vCjqf3trL9CjZmO6w&s=19

Hujui hata nimepost kwasababu ipi..
wew mtu kukudaka kwenye angle zake ni rahis sana sababu ya umbumbu wako, yan ndo mana nimejua sura yako kirahis, na nimejua wew ni dalali wa mabati, afu unajifanya/unadanganya watu eti ni muhandis wa halmashauri

Ila kijana kiufup, unanifurahishaga vitu vingi sana 😄😄

Jambo jingine Eng wa halmashauri.. ushapewa elimu ya kutosha kuhusu "TAZARA kuwa SGR"?
 
Hujasema Hadi useme 😁😁😁😁

Unajua sura yangu Mimi Dalali wa mabati 🤣🤣🤣

Njoo nikuuzie 👇
IMG_20231115_152641_694.jpg
IMG_20231115_145426_128.jpg
IMG_20231115_145422_533.jpg
IMG_20231115_174950_131.jpg
IMG_20230915_171215_433.jpg
IMG_20230915_170406_944.jpg
 
Ujenzi unaendelea wa Upanuzi wa Vyuo na Ujenzi wa Kampasi Mpya Kwenye Mikoa yote Tanzania chini ya Program ya HEET.

Kazi imeanza Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha Mwl.Nyerere Butiama
 
Back
Top Bottom