Unaweza vipi kushindana na Tz likija suala la buses. Sio private sector wala public, kote huko hatushikiki. Heb cheki 👇
View attachment 2812431View attachment 2812433hizi BRT buses pekee are more 300. Hiyo ni kwa phase 1 tu.. phase 2, phase 3 and phase 4 are under way, while phase 5 n phase 6 soon zitaanza ujenzi.
ichoboy01. Hawa vima hawatuwezi Leo na wala hawatotuweza kesho mana hizi basi hamna hamna hadi tumalize phase zote zitakua zimeshafika 3000+ wao wapo busy kutuonyesha vibasi 20. 🤣🤣🤣 Haya ukija mabasi ya masafa marefu Tz kuna Kampuni 100+ yani kwasasa Tz ukihesabu mabasi ya mkoa tu unaweza kuta yanafika 2500-3000. Na kampuni mpya zinasajiliwa kila siku. Kuna kampuni mpya nimeiona pale urafiki juzi, nikapata wasaa wa kupita maeneo yale nitapiga picha gari zao