Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu subiri unataka kutuambia china hakuna sub scania?? Hvi ww unafkiri dunia ya sasa kuna kitu gani hakitoki china ??

Ikiwa mpaka mitungi yenu ya gongo inatoka china tena ni ya miaka 100 iliopita 😅😅

Ww hujui hata iphone zote zinatoka china ??au na hzo ni fake ??😅😅😅😅😅😅

Bus zote Ilizotumika world cup qatar, south africa na russia zilitoka china je ni fake au??

Leo ndio nimeamini akili inakaa kichwani 😅

Hvi wewe kwa akili yako unaona unaeza shindana na china kwenye kutengeza body za bus kweli?? Are u realy serious??

Body ikitengezwa kenya original ila ikitengezwa china fake 😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
Ndio nashangaa hapa. Unajiuliza wako na matatizo gani? Isuzu hata haijulikani popote wao wanasema yao ni Original.
 
Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.

Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera yake za utalii.
😄😄
 
20231113_185649.jpg
 
Kafungua thread huko anaongea mambo ya hovyo kuhusu Tazara utafikiri ni injinia mstaafu😂
 
Back
Top Bottom