ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Anaweza kumwaga maji kwenye mabwawa ya umeme watu wakauza generators ila kuwaondoa watu kwenye mito hawezi🙌🙌🙌🙌Wacha kuropoka sheria za mazingira zinasema marufuku kujenga Meter 50 toka katikati ya mto! Nakumbuka January Makamba alijaribu kuwaondoa wale jamaa! Akashindwa!