ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,488
- 88,628
Usinichoshe,Hakuna Tajiri wa Bongo atanunua mitungi ya Mama Ngina wa Nairobi.Umebadilisha gear hewani?π€£π€£π€£π€£
Ulisema hapa ni Dar
View attachment 2811779
Do you still stand by your words ama utaomba msamaha kwa kuhamisha picha ya Nairobi hadi hapo glorified fishing village?
π π π π πππππHuwezi kudanganya watu wewe embassy of Sudan na south Sudan ni vitu viwili. Huu ujinga peleka jukwaa la ccm
Huwezi amin hio picha ya kwanza.. ni moja ya nyumba zetu masakiπ
Na hio company ni yetu
View attachment 2811718
Haya maji tungeweza kutadivert into JNHPP ingekua safi sanaNyingine hizi hapa
Ngoja nitoe comment 'sawasawa' na akili yako ilivyo.
Mama hafai kuwa Rais sababu anasababisha mafuriko jangwan na msimbazi. Tukutane 2025 π
View: https://twitter.com/millardayo/status/1723660419288465511?t=S9g9afQTRiIGi6Jpl1_klA&s=19
View: https://twitter.com/millardayo/status/1723618836115509515?t=FnOL9lTWAH6fofAKV3GsTQ&s=19
π π π π π π mwai dickson sodima tuliza kijambio hicho kwanza hii mada sio size yakoWhy do you guys lie so openly?β¦ so you are saying Google earth is rigged ?β¦.. wacha Ujinga..
sisi hatuna roho mbaya kama nyie ndio maana tunagiza china na tunawakumbuka kuwaungisha kidogoIf they are ugly Tanzanians could not have coming to buy them.
Proudly produced in Kenya by Kenyans for Tanzanians.
View attachment 2811778
Mosi, Tahmeed is a Tanzanian Company ,This year tahmeed wamenunua mabasi zaidi ya 20 zilizokuwa assembled kenya keep crying
You mean these ones ? Nah ?Timu zenu basi zao zinanunuliwa na sponspors. No much difference.
Basi za made in kunyaland cheki finishing utasema juakali mtumbwi π€Unashobokea hizi buses sababu hazijangongwa na nyundo kama zile sufuria nyingine, kumbe na nyie mnapenda vitu professional made? πππ
Sawa chris kakumbana na crises sema wabishi nature ya kikunyaNyinyi ni waongo sana... Tazama hii video vzr ya Chris alietembelea Nairobi week hii...tena wakati wa mvua
Nairobi CBD ina potholes kibao tena karibu na Kenya archives kabisa, mjini Kuna matope pavements ni za kizamani sana hadi zimekatika katika...Kuna mto hapo mjini maji ni meusi...
Msikilize vzr yaan Nairobi ukitembea na viatu vyeupe unarudi hutamaniki...
it is very sad kuwa ndo the only capital and commercial city in kenya lakin Bado City center yake ni ya ovyo...sipati picha harufu
View: https://youtu.be/jSxPJMvpNfQ?si=Bo_cxzlgm-hRJ-Gu
Unaweza sema ni Malori ya kubebea taka ππBasi za made in kunyaland cheki finishing utasema juakali mtumbwi π€View attachment 2811902