ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,309
- 89,716
Roho mbaya na umaskini ni nduguNilikua nazungumza na Bertin, wakenya muache Roho mbaya wazee. 😂😂😂.
ivi unajua jamaa bado hajasign anywhereIli wamshinikize Dangote aone kuna biashara ya mafuta ukunduni!☝🏿☝🏿🤣🤣
alafu kuna port wanajenga somewhere aroundMwanza city center sasahivi ni kama kariakoo tu, ujenzi wa gorofa mya ni karibu kila mtaa. View attachment 3661252
Sasa wewe kuzungumza na Bertin na roho ya Wakenya zinaingiliana wapi? Unazeeka vibaya wee Mbilikimo.😂😂😂Nilikua nazungumza na Bertin, wakenya muache Roho mbaya wazee. 😂😂😂.
10. grand Sultan Jupiter Upanga 21 floors. View attachment 3661253View attachment 3661254..
View: https://www.instagram.com/reel/DctYFGWsE4V/?igsi=MWQzcnY3ZW00cGd4NA==.
You have proved what we have always told you. Tulikwambia he has something against Kenya ukakana, leo hii unampost mwenyewe akikubali he has something against Kenya. Alafu yeye mwenye hajasema Wakenya wana roho mbaya ile amekubali hapendi Wakenya. Secondly, umeficha mambo uliomwambia. From the conversation inaonekana umemwambia Wakenya wanawatusi Watanzania wakati in real sense it's twoway. Mnatutusi nasi tunawatusi.😂😂😂.View attachment 3661262
Acheni Roho mbaya nyie wakunya. 😂😂😂.
Acheni roho mbaya wanuka mavi, kwanini mna report account zake zifungwe.? 😂😂😂You have proved what we have always told you. Tulikwambia he has something against Kenya ukakana, leo hii unampost mwenyewe akikubali he has something against Kenya. Alafu yeye mwenye hajasema Wakenya wana roho mbaya ile amekubali hapendi Wakenya. Secondly, umeficha mambo uliomwambia. From the conversation inaonekana umemwambia Wakenya wanawatusi Watanzania wakati in real sense it's twoway. Mnatutusi nasi tunawatusi.😂😂😂.
If you're not breaking YouTube guidelines hata ukiripotiwa nothing will happen. Kama aliripotiwa na akapigwa strike then there's something he's not telling you. Ukisambaza habari za uongo utarepotiwa tu.Acheni roho mbaya wanuka mavi, kwanini mna report account zake zifungwe.? 😂😂😂
Habari gani za uongo ambazo Bertin amesambaza.? Watu wanaona huu mjadala wetu hebu wape majibu. 😂😂😂If you're not breaking YouTube guidelines hata ukiripotiwa nothing will happen. Kama aliripotiwa na akapigwa strike then there's something he's not telling you. Ukisambaza habari za uongo utarepotiwa tu.
Umeelewa post yangu kweli? Nimesema if he wasn't doing anything wrong kama kusambaza habari za uongo then there's something he is not telling you. Btw, I hope amekupea the 32 towers usianze excuses tena.😂😂Habari gani za uongo ambazo Bertin amesambaza.? Watu wanaona huu mjadala wetu hebu wape majibu. 😂😂😂
Shida itakuja pale tutakwambia ulist hizo gorofa na site zake. 🤣 🤣Mwanza city center sasahivi ni kama kariakoo tu, ujenzi wa gorofa mya ni karibu kila mtaa. View attachment 3661252
Unaeza kuona kwa macho yako mawili bro.Shida itakuja pale tutakwambia ulist hizo gorofa na site zake. 🤣 🤣
Kazi ya kuleta projects za 20+ floors ni duty yangu budaa. Usijichekeshe bure. 😂😂😂Umeelewa post yangu kweli? Nimesema if he wasn't doing anything wrong kama kusambaza habari za uongo then there's something he is not telling you. Btw, I hope amekupea the 32 towers usianze excuses tena.😂😂
Unaeza kuona kwa macho yako mawili bro. View attachment 3661284Hii ni city center na haka ni kaeneo kadunchu tu ila unaeza ona very clear kuwa kuna green nets 3 tayari. 😂😂😂
Kwa hivo umeshindwa kazi ama vipi?Kazi ya kuleta projects za 20+ floors ni duty yangu budaa. Usijichekeshe bure. 😂😂😂