Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kitu tumemaliza, ni hivi ili Kenya iwe relevant ni lazima ijipambanue na Tanzania, hii sasa imetambaa toka kwenye country to individual levels. Hadi wasanii wa Kenya ili awe relevant ni lazima ajilinganishe na Wasanii wetu, ila sijawahi sikia msaani mkubwa wa bongo anajilinganisha na msaani wa Kenya, tumeona juzi ile bouncer na stunts za Bongo, yaani inajua Bongo music industry kuliko inajua ya Kenya, ile masikio kigeugeu eti nayo inasema imewahi kuwa kubwa kuzidi Diamond na Alikiba……..wonders shall never end😅😅😅

Anyways, kiufupi Bongo ndio SI Unit ya maisha ya Kenya, kila kitu wanafanya kuangalia Tanzania inafanya nini, yaani ni kama bila Tanzania Kenya haipo, na huu ndio ukweli. Au mnabisha tuzime data?🤪😅😅
HAHAHAHAHAHAAAAA TZ ni SI Unit kwao TOPESTAN
 
Watanzania kwa ujirani mwema mnunue hizi simu. You will learn from us later.
20231031_000217.jpg
img_2_1698697216278.jpg
20231030_234923.jpg
20231030_234844.jpg
20231030_234839.jpg
20231030_234836.jpg
20231030_234832.jpg
 

Attachments

  • 15678c7acd730ec0e5b2a72ee87fcb64.mp4
    1.1 MB
Mimi ni mtanzania ila ukweli usemwe hizi range kanda ya kaskazini (arusha, moshi, n. K
) ipo hii moja tu ya William tarimo basi huku dar zipo 5 tu bongo nzima haizidi 7 approx.

Kwa research yangu ila kenya haya mandinga ni mengi sana aseeh ukweli use
Ndio maana wanashinda wakiyapost. Rare sights.😂
 
Back
Top Bottom