Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja pakamilike Bro😎, Tutalinganisha na ule ukurutu wa Topestan😂😂😂😂. Kitu chao chochote kipya kipe miezi miwili kinafanana na sura zao.

Angalia Bongo hii barabara miaka kadhaa pavement imebaki na rangi yake.

View attachment 2796740
Nikiangalia sidewalks za ground road Ya Expressway huwa nacheka!
 
Ngoja pakamilike Bro😎, Tutalinganisha na ule ukurutu wa Topestan😂😂😂😂. Kitu chao chochote kipya kipe miezi miwili kinafanana na sura zao.

Angalia Bongo hii barabara miaka kadhaa pavement imebaki na rangi yake.

View attachment 2796740
Hii mitaa imepoa kinoma Wallahi sidhani East Africa kama kuna mitaa ya kushindanisha na upande huu wa masaki. 🔥🔥🔥. Classy
 
Mkenya kaamua kuongea ukweli 😅😅 mkenya anapenda sana kuiona Tanzania imempakata 😂

View: https://twitter.com/KillaLando/status/1716505744139341834?t=TD-g1Qm_UeDR1ALzipljIQ&s=19

Hii kitu tumemaliza, ni hivi ili Kenya iwe relevant ni lazima ijipambanue na Tanzania, hii sasa imetambaa toka kwenye country to individual levels. Hadi wasanii wa Kenya ili awe relevant ni lazima ajilinganishe na Wasanii wetu, ila sijawahi sikia msaani mkubwa wa bongo anajilinganisha na msaani wa Kenya, tumeona juzi ile bouncer na stunts za Bongo, yaani inajua Bongo music industry kuliko inajua ya Kenya, ile masikio kigeugeu eti nayo inasema imewahi kuwa kubwa kuzidi Diamond na Alikiba……..wonders shall never end😅😅😅

Anyways, kiufupi Bongo ndio SI Unit ya maisha ya Kenya, kila kitu wanafanya kuangalia Tanzania inafanya nini, yaani ni kama bila Tanzania Kenya haipo, na huu ndio ukweli. Au mnabisha tuzime data?🤪😅😅
 
Ngoja pakamilike Bro😎, Tutalinganisha na ule ukurutu wa Topestan😂😂😂😂. Kitu chao chochote kipya kipe miezi miwili kinafanana na sura zao.

Angalia Bongo hii barabara miaka kadhaa pavement imebaki na rangi yake.

View attachment 2796740
Kuna mtu kaniambia the reason Nairobi wanaweka pavements za rangi rangi ni sababu ya ukurutu yaani uchafu…….we mji gani duniani unaujua una pavements nyeusi? 😂😂😂😂
 
Stadium yenyewe ndio hii watu wanakalia zege 2023 aloo dunia haitasimamisha maajabu ndio maana hamutapata approval ya CAF wala FIFA mpaka dunia itasimama 🤣🤣🤣🤣 juuu mabati chini zege🙌🙌🙌🙌
View attachment 2792923
Kilichonichosha zaidi eti wanaita international stadium😄😄
 
Unaweza kuta Mkenya anajiita Mtanzania ku-push kazi yake!
Hahaha huo ni ukweli pia, hata mkenya akiwa na mzazi mmoja kutoka Tanzania mfano mama ila baba ni mkenya na amekulia Kenya maisha yake yote lazima atajitambulisha kama mtanzania ni kama wa Africa wakiwa na moja ya mzazi kutoka nje ya Africa lazima aseme yeye sio muafrika 😅😅
 
Watz mkikutana pekee yenu vitu mna discuss na kuota ni za kitoto sana.
Ujue hii hii hapa Posta ndio huwa mnalinganisha na kilimani, Kileleshwa, Rosslyn, Riverside, Kitisuru, Ridgeway, Runda, Karen, Nyari, Parklands, Gigiri, Muthaiga, Lavington, Westlands, Springvalley, Lower Kabete, Hurlingham, Upperhill, Whispers........? 🤔😳
This one Posta!? Ndio sasa mnaweka pavements 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_2023-10-29-15-04-13-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

This jokes have to end.
And this is Kisumu🤣🤣🤣🤣🤣
20230927_193627.png
 
Watz mkikutana pekee yenu vitu mna discuss na kuota ni za kitoto sana.
Ujue hii hii hapa Posta ndio huwa mnalinganisha na kilimani, Kileleshwa, Rosslyn, Riverside, Kitisuru, Ridgeway, Runda, Karen, Nyari, Parklands, Gigiri, Muthaiga, Lavington, Westlands, Springvalley, Lower Kabete, Hurlingham, Upperhill, Whispers........? 🤔😳
This one Posta!? Ndio sasa mnaweka pavements 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2796828
This jokes have to end.
And this is Kisumu🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2796843
🤣🤣🤣🤣 Mzee wewe ni kipofu.? Can't you see hizo pavement ndio zinawekwa.?
 
Back
Top Bottom