Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo la 1 nimeliona mara 2 kkoo. Alafu zingatia comment yangu nimeeleza kuwa kama hayo range vogue 2023 zipo bongo basi haizidi 7-10 trust me.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ulisema 7 sasa zimefika 10 🀣🀣🀣🀣 ndio maana nilikuuliza ww ndio unayahesabu au haya niambie kenya yako mangap??

Mm naeza kukuonesha range rover sport zaidi ya 5 za 2023 hapa dar na kenya usipate hata moja,, hii nchi watu wanahela mzee kuna watu wananunua magari na hawayatembeli mara kwa mara πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hiyo inaweza kuwa ni eck maana jamaa anasafiri sana mkuu. Anyway mimi point yangu ni kuwa kwenye magari makali kenya wametuzidi sana tena sana yaaani.. Na hapo usibishe.
Gari ya simba wa tanga unasema ECK 🀣🀣

Hio ECK kila siku naiona samora imepaki
Unaposema wametuzidi wakat huna ushahidi wowote, wametuzidi kwenye nini ongea kitu uwe na facts πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuuu embu cheki hii link ya ig alafu fananisha magari yao na yetu acha kukaza fuvu bro.


Naijua vzr sana hio ndio maana nimekwambia hvi wabongo sio watu wakujionesha na sio watu wakushoboka kutafuta magari ya watu 🀣🀣🀣🀣

Kuna watu wanamagari na yamepaki ww utayaona saa ngap?? Dar ni kubwa mara tatu ya nairobi hebu nieleze

Juzi nimeenda kigamboni afro oil nimekuta LC 300 sita wamenunuliwa watoto na yamepaki tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pitia magari ya hii link niliyotuma ujione mwenyewe acha kukazana na ma range rover tu mbona type zingine hamna, nioneshe bentayga/rolls royce / lamborghini urus.
Naijua vzr sana sema kumbe lamboghini urus ndio inakupa tabu 🀣🀣🀣🀣🀣
Screenshots_2023-10-30-22-51-30.png
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ LC300 SITA? PAAAH acha zako ww ulishindwa hata kupiga picha?

Watoto wa nani hao au vitukuu vya bakhresa?.

Itakuwa ni wanasiasa hao.
Fala kweli wewe afro oil nakwambia nilikuta brand new LC 300 sita zimepaki naambiwa wamenunuliwa watoto🀣🀣🀣🀣

Aliekwambia ni mwanasiasa nani ww kama hujui uliza mzee
 
🀣 Ni nani mkuu?. Pitia hapa pia πŸ‘‡

Nyingine hio nakupa lambo inaonekana bado mshamba sana ww 🀣🀣🀣🀣
Screenshots_2023-10-30-22-58-57.png
 
Acha kupost vitu fake.
High end cars achia Kenya
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Rudi kwenye acc yako kwanza plz
Screenshots_2023-10-30-23-02-24.png
 
Pitia magari ya hii link niliyotuma ujione mwenyewe acha kukazana na ma range rover tu mbona type zingine hamna, nioneshe bentayga/rolls royce / lamborghini urus.
Wewe mgeni humu usivamie bila kupitia vzr hii thread, wapo wenzio kipindi uzi unaanza walikuwa hivyo hvyo now wametii, so nenda pole pole utatii na ukawahadithie wenzako, hiyo issue ya magari tulishamalizana nao kitambo, pitia post za juu.
 
Back
Top Bottom