mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,812
- 5,263
I just posted once… hii hapa mlipost for two months…🤣🤣🤣🤣😄Asante kwa render ubarikiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
I just posted once… hii hapa mlipost for two months…🤣🤣🤣🤣😄Asante kwa render ubarikiwe 🤣🤣🤣🤣🤣
Unahitajika mathare mental institute ukapewe dawa,eti miaka 10 ahead 😂,sugunyo mlichotuzidi ni uchafu tuWE ARE ALWAYS 10 YEARS AHEAD OF ALL THESE JIRANIS OF OURS....
So did you miss your meds when you posted this for two months?…🤣🤣🤣Render nation 🤣🤣🤣 ndio kilichobaki, sasa utapost nini kipya kutoka ukunyani.?
Yes its a render hebu sema nani hua anashoboka kupost renders zaidi yenu nyinyi ?I just posted once… hii hapa mlipost for two months…🤣🤣🤣🤣😄
View attachment 2798318
Mtafute huyu umuulize kuhusu benjamin mkapa stadium atakujibu 🤣🤣👇👇👇View attachment 2798293View attachment 2798294
CAF hawautambui, usifosi mambo, uwanja wa 60's uje kulinganisha na uwanja wa 2000s una kichaa? Kuhusu stadiums, soccer hatushindani na yeyote EA.Bana hapo umeweza!!
Look at Kasarani. Yaani the moment Kasarani gets a good roof, No Stadium will come close in East and Central Africa.
60 000 seater. Wakowapi walidhani Kasarani haina viti!? Tena viti vizuri na Floor safi. Floor ya Mkapa nimechapa unadhani ya 1920.
View attachment 2798141View attachment 2798142View attachment 2798143View attachment 2798144View attachment 2798145View attachment 2798146
Nyie wakenya ndiyo maana life expectancy yenu iko chini, huwa mnajipa headache za bure kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I was in Kakamega today and I can confidently say that there is no City in Tanzania including Dar that can beat Kakamega on road infrastructure. None.
View attachment 2798163View attachment 2798164View attachment 2798166View attachment 2798167View attachment 2798168View attachment 2798169View attachment 2798171
Vumbi Nation, vumbi is everywhere, when you look at the picture below you will definitely agree with me that Nairobi is covered by vumbi everywhere 🤣🤣Something to note also, no single suburb is without tarmac. Every road and street is tarmacked. 90% of the roads have proper sidewalks and drainage system. In most cases closed drainage
View attachment 2798175View attachment 2798181View attachment 2798182View attachment 2798183
Wameweka viti juzi, tena baada ya kuona wanatukanwa na watanzania ndio wameweka, basi ndio wanapata guts za kulinganisha na Mkapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee lame excuse yako ya viti kupauka ni ya kipuuzi big time, Viti vya kasarani ni vipya na vimewekwa mwaka huu huu, Mkapa stadium haina renovation ya hivyo vitu since uwanja uzinduliwe 2007 . Ni 16 years now unategemeaje visipauke.? Wait kuna renovation kubwa inaendelea nadhani itaisha mwaka ujao mapema tu viti vyote vinang'olewa na kuwekwa vipya.
You are the kings of renders and the phrase “Tuta”…🤣🤣🤣Yes its a render hebu sema nani hua anashoboka kupost renders zaidi yenu nyinyi ?
Ww tanzania ukiifatilia sana huwez kula tanzania ina projects nyingi sana na sasahvi BRT phase 4 ujenzi umeanza 😅😅😅You are the kings of renders and the phrase “Tuta”…🤣🤣🤣
Huyu ulijua anayo ??😅😅 au wapi ulikutana nayo?Mmmh ya kweli haya!?. Embu nipe mfano ni Mangapi unajua yapo uwani?
Numekuuliza swali ulijua anayo au wapi umekutana nayo 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇Hahah hili si la dsm tena huyu tajiri anajihusisha na mambo ya hardware kkoo. Na hii photo najua umeitoa account hii ig 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 2798375
Waambie wakuoneshe velar ya 2023 wakipata nitag na mm 🤣🤣🤣🤣 hata na ww unaeza wasaidiaHahah hili si la dsm tena huyu tajiri anajihusisha na mambo ya hardware kkoo. Na hii photo najua umeitoa account hii ig 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
View attachment 2798375