chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Nilijua lazima ulie 😂😂😂 kwa akili yako hapo ni launching? Huoni watu wapo mzigoni hapo?Mmekuwa mkilaunch for the past 5 years bado mnalaunch tu.😂
Nilijua lazima ulie 😂😂😂 kwa akili yako hapo ni launching? Huoni watu wapo mzigoni hapo?Mmekuwa mkilaunch for the past 5 years bado mnalaunch tu.😂
Mmekuwa mkilaunch for the past 5 years bado mnalaunch tu.😂
Lamu pipeline iwapi? Au financiers wameipotezea, wameogopa kubutuliwa na Al Shaabab?Mmekuwa mkilaunch for the past 5 years bado mnalaunch tu.😂
Usibadilishe magoli wee pumbu.Lamu pipeline iwapi?
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuishi JF? Unateseka ukiwa wapi? 🤣🤣🤣Sasa kahama si inajulikana ni one of the developing regions kwani hujui mkuu hapo yenyewe unakuta yamekodishwa tu alafu hayo ma (v8, Tx, range ) za 2005 sio big deal kihivyo mkuu. Maana ni yale yale na yamekuwa mengi hadi yamepoteza mvuto 😏😆
Hawa Jamaa ukiwacheki kwenye website Yao inaonesha project Iko alive ila Bado hawajaanza.I just posted once… hii hapa mlipost for two months…🤣🤣🤣🤣😄
View attachment 2798318
Ndio maana unaambiwa usiseme watu hawana pesa sema mm sina pesa 🤣🤣🤣Nimeshangaa sana yaani mtu amwage 3.3B kwa magari ya watoto duuuh!
Mbona nina safari ndefu asee! 😭😭😭😭😭😭.
Sioni ajabu mengi ni magari ya kawauda sana sasa unapost benz e series ya 2016 wakat huku ziko kama takataka 🤣🤣🤣🤣ichoboy01 huwa na wasiwasi. We can not start arguing on sport cars and high end cars in Kenya........
View attachment 2798415View attachment 2798416View attachment 2798417View attachment 2798418View attachment 2798419View attachment 2798420View attachment 2798421
Owner wa simba cement nenda google umjue nani🤣Simba wa tanga ndo nani?
Na yale maswali yangu ya jana naomba uyajibu
Ila defender 110 ya 2023 umeiona 🤣🤣🤣🤣ARUSHA OYEEE! ARUSHA OYEE!
SIJATEMBELEA HUU MKOA KWANZIA JUNE ILA NTAENDA TU.
Sema lexus za 2023 sizioni 🤓😎
View attachment 2798513