Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
Zinaonekana hapo ww unaona nn ?? Hebu tueleze hapo ww unaona nn km zaidi ya 25🤣

Dar nikubwa mara tatu ya nairobi yani hili weka akilini ndio maana dar huwez kumaliza kwenye picha moja never

Ww picha moja kila kitu ndani na kinaonekana clear alaf unataka kufananisha dar na nairobi kweli??🤣🤣🤣🤣
 
We Mbwa unayejifanya Mswahili, Magorifa ndo nn?
 
This is how Riverside pavements look like.
View attachment 2796871
🤣🤣 We kima, likija suala la pavements Dar sio league yenu, ni posta tu ndio ilisahaulika.. 👇6km outside CBD
IMG_1430.jpeg
13 km outside CBD 👇
IMG_20211102_171849_688.jpg
IMG_20211102_171410_364.jpg
.. posta enyewe na ocean drive
IMG_20220827_083538_743.jpg
IMG_20220827_084203_332.jpg
IMG_20211030_124540_398.jpg
and guess what streets zote sasahiv zinakula pavements za vumbi tutaagiza kutoka uko kwenu umavimavini .. kula chuma hicho 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cy-kKa_I3_O/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
 
Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
Kama hii sio DAR 👇 then hiyo pichaako nakubali kwamba hiyo picha one cover DAR nzima.. 👇
tuishi.tanzania-20230123-0005.jpg
tuishi.tanzania-20230123-0003.jpg
1200px-Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial(0).jpg
mydaressalaam_1655796386665900.jpg
hq720(4).jpg
udsm_library_1635632395347522.jpg
 
Zinaonekana hapo ww unaona nn ?? Hebu tueleze hapo ww unaona nn km zaidi ya 25🤣

Dar nikubwa mara tatu ya nairobi yani hili weka akilini ndio maana dar huwez kumaliza kwenye picha moja never

Ww picha moja kila kitu ndani na kinaonekana clear alaf unataka kufananisha dar na nairobi kweli??🤣🤣🤣🤣
Ukubwa wa Dar tumeimbiwa hapa tangu 2015 na hakuna Cha maana. Huo ukubwa ni uswazi kushoto kulia you can't compare with Nairobi iliyojengeka kila mahali. Ukubwa gani wakati sehemu kubwa pia ni mapori hadi shamba za mihogo za hekari kadhaa zinapatikana.
 
Wewe una matatizo sana yafaa uone dakitari. Eti seven blocks under construction? Alafu unashikwa na goosebumps!!!

This is just a small section of Kilimani.
View attachment 2798015
How many green nets have you counted?

Itawachukua miaka mingi sana kufikia Nairobi
Wewe ndio una shida,nimekupa blocks chache tuu za TBA Wala sijaweka za taasisi zingine au private sector ,sawa wewe pimbi.

Tulia upate dozi upone

View: https://www.instagram.com/reel/Cy2r0v6Ap9-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Tuliza kende wewe bongolala. Hii battle hutoniweza hata nikupe mwaka moja ya kujipanga.

This is affordable housing project in Ngara alone. Apartment blocks of 17-floors high. Alafu wewe unaniletea nyundo za ghorofa saba na kutupigia nayo kelele hapa.

images - 2023-10-30T163442.653.jpeg
images - 2023-10-30T163338.643.jpeg
image-1200x600 - 2023-10-25T183242.699.png
 
Back
Top Bottom