Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruto shikilia hapo hapo usiachie na hakuna kuachia urais mpk umalize vipindi vyako viwili vyote, hakuna kuachia nchi ikibidi damu imwagike, hakuna kuwaachia, wakamue mpk wajute kuzaliwa, alafu baada ya kuwakamua ondoka zako kaishi ulaya huko mana utajiri utakuwa nao wa kutosha kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
What I understood from this excerpt is, Tanzania is the little beggar on the street that China drives by in his Range Rover everyday and throws him a few coins everyday so the little beggar grows to believe the man in the Range Rover is his friend. He thinks his children and the big man's children are friends. Ndio maana nawaambia Nyerere aliwalaani Na delusions kabla afe.
What you have written is proof of how Kenyan education is a burden and of no help to ordinary Kenyans, its just a certificate for an employment.

If you had a good education, you could have begun with detailed investigation on what has been said. China ilikuwa masikini sana, na mradi wa Tazara ulikuwa ni karibu nje ya uwezo wao wa kifedha na technolojia.

Katika uchimbaji wa taneli, watu walikufa kwa kuangukiwa na vifusi, maji kuvuja na mengine mengi kutokana na technolojia dhaifu waliyokuwa nayo kipindi hicho. Mambo ambayo huyajui ni kuwa, China imefanya makubwa sana kwa Tanzania ambayo haijawahi kufanya kwa nchi yeyote Africa ikiwamo: the largest Military airfield in Africa and one of the best in the world. "Tanzanian president inaugurates Chinese-built ultramodern military airport"

For your info: TAZARA soon itafanyiwa wa nguvu or kujengwa upya na ni investment ya railway kuwahi kutokea Africa, ikihusisha numerous industrial parks along the way ilikupa boost Tazara na kuweza kuwa na mizigo ya kutosha, among other things. Na kuna uwezekano ikaendeshwa na China. Hivyo, utapata nafasi ya kuona tofauti kati ya TAZARA na reli yenu na aina ya treni.

Nakutakia maisha marefu sana 😂
 
Nimetembea hizo nchi zote wanatupenda Sana. Hamna ubaguzi eti ooh huyu ni Mkenya. Hapo kwenu tu ndio kuna chuki.
Uko sawa boss , ni kweli . Watz hatuna shida na mtu yoyote toka nchi yoyote . But You . Mko na vitabia flani hivi vya kimavimavi ambavyo ukilinganisha na tabia za mbongo haziwezi kusomana. Mtu anaejiona ni mzungu ikiwa ni mweusi na maskini fukara, arrogance, theft, ujuaji, dharau, utapeli among few. Hamko real yaani. Hivyo tu. Yaani hatuendani.
 
The Chief founder of Land grabbing in Cundustan,
teaching his son some key land grabbing techniques.
AF3AE72D-5B26-4815-9EC3-FD105EEC15D3.jpeg
 
Back
Top Bottom