Tena hizo ndege ni zile walizoiba East African Airways ilipovunjika😁😁Wewe huoni kwamba hamna akili? Hata tukisema ndege 20 zote ni za kq, huoni kama bado hamna akili? Tangu uhuru shirika lina operate lkn lina ndege 20 tu, air Tanzania imefufuliwa juzi tu hapa now ina ndege 17 na nyingine zinakuja.
🤣🤣🤣🤣 Hizo basi za umeme zenye mnaita BRT zipo ngapi uko kwenu.? 🤣🤣🤣 Kwenye vita mabomu unakujaje na kisu.. BRT buses ni system Bro, I'm talking about 400+ buses and more to come.. barabara zote kubwa DAR zinapigwa BRT lanes. We ni fala nini wewe.? Halafu nani kakwambia DAR hakuna treni.? Bro Dar ni mji ambao uko na aina tofauti tofauti za usafiri for it's people to navigate.Sasa wewe, ndiwe unapanga usafiri bora Nairobi uwe matatu na Dar uwe BRT!? Mbona akili za kitoto!?
1. Nairobi in DMU Zaidi ya 6, kama hizi hapa moja 36, ingine 37
View attachment 2790634View attachment 2790635
2. Commuter buses
View attachment 2790639View attachment 2790640
3. Shuttle buses for terminal reach
View attachment 2790642View attachment 2790643View attachment 2790645
Hivi vitu ilivisikia ama kuviona Dar!?
Nionyeshe fleet hata ya basi tano za hiyo kampuni kama uko na guts 🤣🤣🤣.. hizi ni takataka gani by the way..?Wewe bana acha bezo na mzaha. Sasa hii mikebe ndo unaleta hapa??
Ena coaches pekee wako na buses over 100. Acha mchezo.
Tufuta basi za hadhi uje. Hizo umepost ni usual things
View attachment 2790686View attachment 2790688View attachment 2790689
🤣🤣🤣 Kampuni ya basi nne+ daladala unaileta kwenye vita ya kampuni kubwa za mabasi.? 🤣 Ulidhani sitaifuatilia au.? Basi zenyewe scania zinakula mzinga kila siku 👇Wewe bana acha bezo na mzaha. Sasa hii mikebe ndo unaleta hapa??
Ena coaches pekee wako na buses over 100. Acha mchezo.
Tufuta basi za hadhi uje. Hizo umepost ni usual things
View attachment 2790686View attachment 2790688View attachment 2790689
Akina kimbunga sijui Kimbg wananuna wakiona hivi😁Kuna mtu anabisha joho hakuwepo kwa mkapa akitazama mechi ya yanga? Na je kavaa jezi ya gor mahia au??🤣🤣🤣🤣🤣
Asanteni azam tv
View attachment 2790702
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kweli Wabongo wengi vichaa!!!!Akina kimbunga sijui Kimbg wananuna wakiona hivi😁
Nishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North🤣🤣🤣 Kampuni ya basi nne+ daladala unaileta kwenye vita ya kampuni kubwa za mabasi.? 🤣 Ulidhani sitaifuatilia au.? Basi zenyewe scania zinakula mzinga kila siku 👇View attachment 2790708.. 👇"ENA Coach" ENA Coach. 🤣🤣 Dah.!!
Narudia tena kusema hapa jamvini mzigo wa AFCON 2027 utaachiwa Tanzania msiseme sikuwaambia kabla.Yaani ukizingatia Benjamin Mkapa Stadium alone is under maintenance at the cost of $15m halafu hawa eti wanajenga hizi bodaboda sheds Kwa gharama ya $250k kisha wanaita international stadiums, unagundua kuwa hawa wakundustan ni Bunch of jockers , we should not expect enything serious for AFCON 2027 toka kwa hawa mafukara.
🤣🤣🤣🤣 Mzee hizo basi za Tanga-Dar tu ni kampuni 15 .. achana na zone huko wala hutawezana..Nishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North
View attachment 2790715View attachment 2790717View attachment 2790718View attachment 2790719View attachment 2790720View attachment 2790721View attachment 2790723
Ninyi malofa mnaifikia kwa lipi?Ethiopian airlines ET unaiacha wapi? Hata robo hamuifikii.
Narudia. Soma historia.Historia ipi? Ikawaje kiswahili kikafika Zambia, Mozambique, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda kisifike Ethiopia, Sudan, Somalia kama ninyi ndio center of excellence ya Kiswahili? Ukiondoa Mombasa kwengine kote hakuna anaeweza kuongea sentence 2 za kiswahili Kunyaland yote, kiswahili kimeanzia Tanzania ndio maana kutokea Tanzania kimesambaa nchi zote zinazopakana na Tanzania, kwanza hata it's a big shame kudabate na Mkunya kuhusu kiswahili 🚮
So typing a paragraph in Kiswahili changes the history of Kiswahili? Stop being a fool.Nimechelewa kuuona huu mjadala.. lkn hapa kwenyewe umeshindwa kuandika sentensi kwa kiswahili yote. Ndo kiswahil kitoke kenya?.
Pia kiswahili cha mtoto mdogo wa Tanzania ni bora na kinaelewa kuliko hata cha mtu mzima huko kenya.
Toa Takataka hapa we mkunyaNishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North
View attachment 2790715View attachment 2790717View attachment 2790718View attachment 2790719View attachment 2790720View attachment 2790721View attachment 2790723
wtf is this , seriously,Wewe bana acha bezo na mzaha. Sasa hii mikebe ndo unaleta hapa??
Ena coaches pekee wako na buses over 100. Acha mchezo.
Tufuta basi za hadhi uje. Hizo umepost ni usual things
View attachment 2790686View attachment 2790688View attachment 2790689