Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanalia hakuna anewasikiliza, English haiwasaidii wala 1kes = 16tsh haiwasaidii, GDP ndio kabisa imeng'ata ulimi 😅😅😅


View: https://twitter.com/ConradKulo/status/1716314211041616096?t=4uiWzZ2kAKoW-n2abEimmQ&s=19

20231023_113944.jpg
20231023_114425.jpg
20231023_114438.jpg
 
UK- english ni asili yao na wanaongea poa
CHINA-kichina ni lugha asili yao pia wanaiongea poa
RUSSIA-kirussia ni asili yao wanakiongea poa
INDIA-hawa nao wanaongea lugha yao poa

Na nchi nyinginezo zenye asili za lugha wanazungumza vyema,swali la msingi
Je why kenya yenye asili ya kiswahili inashindwa kuzungumza kiswahili vyema?
Hauoni kuwa mnamatatizo ya kiakili,kifikra mpaka kimwili?
Kiswahili kimeundwa kikapiganiwa kimataifa kimekubalika sasa wakenya wanajipachika huu mzigo ni wetu tuwabebe
 
Back
Top Bottom