🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti hujengi kusubiri watu kufika million 100 kwani umeambiwa hio reli inaishi miaka mingapi?? Tumeambiwa 80 mpaka 100 sasa hapo nini huelewi
Uchumi wowote duniani lazma uwe na expectations ndio maana mfanyabiadhara yoyote anapoekeza hupiga hesabu ya pesa yake ya investment itarudi baada ya miaka mingap na faida atapata baada ya miaka mingap, kama umesoma chuo kikuu budaa karudia ada yako, fuvu limejaa kamasi tu 🤣
Ww nigeria au ethiopia ushawah fika?? Nenda kaone ile congestion ilioko lagos tu alaf urudi uteme tapishi lako, ww nje ya uyole umesafiri kwenda wapi??😅😅😅
Ethiopia kuna umaskini wa level za kenya, au hujawah kuona adis ababa kuna light rail ndani ya jiji au hujui ni nn??
View attachment 2787032