🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizo ni excuses eti wamejenga kukimbizana sana na Tanzania.
Kenya haitegemei Uganda Kwa kiwango hicho,75% ya mizigo wa Mombasa Port unaishia ndani ya Kenya,hiyo iliyosalia ndio inaenda Nchi za jirani.
Narudia kwenye hoja ,Kenya wamejenga Sgr kwenye ukanda wa biashara wanakula hasara,Tzn inajenga Sgr kwenda ukanda wa Maskini we Kwa akili zako za kulia ugali unaona Kuna Cha maana mtapata?
Hovyo kabisa ndio maana nawaitaga wakurupukaji,Tazara imeshindwa ndio ije iwe hiyo Sgr ya Mwanza/Kigoma na vinchi hivyo maskini hapo?
Mtaishia kupigia picha tuu humu ila ni mradi wa kipumbavu,wakoloni hawajufanya ujinga kama huu wa kujenga reli za kupigia picha.
Hata reli ya Tazara ililazimishwa WB walipinga kwamba Haina faida,Kiko wapi Leo ni pambo tuu,na kipindi kile alikuwepo mbumbumbu mwingine wa uchumi kama Mwendazake.
Niumie kwani mm siwajui au??🤣🤣🤣🤣Bwana ichoboy01 naona ukiumia sana hivi karibuni. Hii Konza itakutoa Kamasi. Subirini hapahapa
View attachment 2786661
Hapa tunaojadili hoja za kiuchumi sio swala la nani kaanzisha au nani hajaanzisha.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kisa alianzisha magufuli ndio kinachokuuma hebu ww niambie nn kaanzisha huyu mama mm nicheke sasa hvi? Legacy ya huyo unaemchukia haiwezi kuisha vizazi na vizazi hata ufanye ufyoko gani
Huyu rais kazi iendeelee maana yake kazi zote zilishafanywa yeye anaendeleza tu ndio maana yake ila usije ukafkiri legacy ya yule mwamba itapotea never ever, mwamba alietikisa africa hii, mpaka wakenya wakaomba aende kwao akaongoze
Na kama ulisoma uchumi basi itakua uchumi wakuuza mitumba au hesabu za dukani kama ulienda kusoma chuo kikuu nenda ukadai ada yako mara moja 🤣🤣
Shida yako ww hakuna asieijua humu ndani hutaki magufuli legacy yake itawale leo bila yeye ungekua unasifu ndege za ATCL haha au hujui hata hio ndege ya mzigo iliokuja juzi ilikua kwenye order ya kipindi chake??🤣🤣
Ww kama unachuki mm nakwambia chuki zako ww hazitafanya legacy ya mwamba kuonekana mark my words 😅😅😅😅
Na tusikuone ukipost picha za SGR ukipost tu tunakushika kalio kwa nguvu😅😅😅😅
Ww hakuna mtu hakujui humu ndani nilikuuza swali dogo tu baada ya 30yrs tanzania inatarajiwa kufikisha idadi ya watu zaidi ya million 100 niambie ni barabara gani zitakua means of transport za kusafirisha watu na mizigo yao wa idadi hio nijue kweli ulisoma uchumi🤣🤣Hapa tunaojadili hoja za kiuchumi sio swala la nani kaanzisha au nani hajaanzisha.
Wewe na wenzako ni majinga mnadhani hii ni miradi ya mtu binafsi anafanya hisani.
Economic rationale ya miradi,sio miradi yote napinga.
Sgr ni tembo mweupe na ni hasara
Kujenga majengo makubwa yaani magorofa ya stand ni upuuzi na Matumizi mabaya ya rasilimali.
Mwisho kabisa Kila mtu abakie na msimamo wake,tuombe uzima tukutane baada ya kukamilika niwazodoe vizuri.
Hujengi kusubiria watu wafikie 100 Bali unajenga wakifika hiyo idadi au plan Yako inaendana na muda wa kufikia hiyo namba.Kinyume na hapo ni ujinga.Ww hakuna mtu hakujui humu ndani nilikuuza swali dogo tu baada ya 30yrs tanzania inatarajiwa kufikisha idadi ya watu zaidi ya million 100 niambie ni barabara gani zitakua means of transport za kusafirisha watu na mizigo yao wa idadi hio nijue kweli ulisoma uchumi🤣🤣
Kama huna usafiri wakuchukua watu wengi kwa wakat mmoja unafkiri utawasafirisha watu na mali zao kwakutumia nn uchawi au??
Angalia tu mfano wa treni ya kwenda pugu inavokusanya vichwa asbh na jioni ndio utajua umuhimu wa reli ni nn
Ikiwa tanzania itafikisha idadi ya watu hao vp kuhusu uganda, congo, rwanda and burundi watakua hawazaani??😅😅😅😅
Ndio maana nilikwambia ww huna akili yakufkiri vizazi vijavyo na kama wazee wa zamani wasingekua na akili hio ww sasa hvi hata huo muda wakupanua kipumulio usingekua nao 😅😅😅😅
Uhehehehe umetoka kwenye reli umeingia kwenye bus terminals 🤣🤣🤣🤣🤣 kisa legacy inakuna mule mule
Kama magufuli bus terminal isingejengwa na kuhamishwa ungepata wapi nafas ya kupost kituo cha biashara kimataifa east africa pale ubungo???😅😅😅😅
Ww una msimamo gani, msimamo pekee nikupambana umaskini full stop
Mechi mbili za robo fainali za African Football League zitachezwa kwa Mkapa
Both teams confirmed
- Ijumaa: Simba vs Ahly
- Jpili: TP Mazembe vs ES Tunis
View: https://twitter.com/TPMazembe/status/1714829139578953851?t=7b8o_H_ftWez2dzwQEvOaw&s=19
View: https://twitter.com/ESTuniscom/status/1714906728704471545?t=JtOmVLmvTiuyRvnFggQXjw&s=19
10 years down the line, from planning, designing, risk and economic assessments, financial solicitation, laws formulation.... And now a city rises from scratch.
Konza City is now entering self acceleration period.
The roads here are built with the highest world class technology.
They are called digital roads
View attachment 2786071View attachment 2786072View attachment 2786074View attachment 2786075
What amazes me is the horizontal infrastructure…..no city in Africa is like that and very few even in the world… did you know all the city functions from transportation to garbage collection are via smart technology… this gonna be a tourist attraction ….. halafu vilaza hapa wana compare na Dodoma… it’s day and night …period!10 years down the line, from planning, designing, risk and economic assessments, financial solicitation, laws formulation.... And now a city rises from scratch.
Konza City is now entering self acceleration period.
The roads here are built with the highest world class technology.
They are called digital roads
View attachment 2786071View attachment 2786072View attachment 2786074View attachment 2786075
We mpumbavu futa huu ujinga kabla sijaruka na wewe, kiazi wewe 🤣🤣🤣What amazes me is the horizontal infrastructure…..no city in Africa is like that and very few even in the world… did you know all the city functions from transportation to garbage collection are via smart technology… this gonna be a tourist attraction ….. halafu vilaza hapa wana compare na Dodoma… it’s day and night …period!
You call yourself an intelligent guy… so act like one and counter my point… I will seriously listen…We mpumbavu futa huu ujinga kabla sijaruka na wewe, kiazi wewe 🤣🤣🤣