Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNIA kama sokoni mwanangu 😍😍🥰😘😍
DSC_0023.JPG
DSC_0025.JPG
DSC_0024.JPG
DSC_0027.JPG
 
Hizi statistics za rate of employment ni za upuzi maanake kila nchi iko na definition yake tofauti ya employment. Ni sawa na number of cities. Yani ukiona Madagascar ndio inaongoza Africa kwa employment na ukubali statistics zenyewe lazima utakuwa na shida ya akili.
 
Povu peleka business insider sio kwangu 🤣🤣

Pole Kwa maumivu 😁😁
 
Back
Top Bottom