Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You call yourself an intelligent guy… so act like one and counter my point… I will seriously listen…
Heb sema kwanza ni miundombinu Gani horizontal ipo Konza empty field ambayo unadhani nchi zingine Africa hakuna. Nipo hapa kukufumbua macho. Ujinga wa wakenya wengi humu ni kwamba hamujui chochote kinachoendelea kwenye mataifa mengine ya Africa, ndio mama labda mnapenda kutumia adjectives. 🤣🤣
 
Sukuma gang endeleeni kuniuliza maswali mshiishie kutoa povu tuu Niko hapa kuwajibu.

Sekta zote hata zilizomshinda Jiwe wewe Uliza utapata jibu ,Samia aka mama wa Taifa ni kiboko ya kutafuna mifupa iliyowashinda kuanzia kwenye uviko 19 Hadi Ngorongoro Kwa Masai na Sasa DP World.

Uliza swali lolote ,kawalipa pesa Hadi waliotimukowa na Mwendazake Kwa visingizio vya Cheti fake ,badala aseme hana pesa anatafuta visingizio na maigizo 😆😆😆😆
Huu usenge ukiendelea tutakuachia hii forum, unapenda sana vijembe vya kijinga jinga, haya mambo tulishaachana nayo wewe unayarudisha tena. Hizo forum za vijembe na mipasho zipo na wewe upo kwenye hizo forum, yani forum zote ambazo upo wewe ni za mipasho mipasho kama hii unayofanya hapa, narudia tena tutakuachia hii forum.
 
Heb sema kwanza ni miundombinu Gani horizontal ipo Konza empty field ambayo unadhani nchi zingine Africa hakuna. Nipo hapa kukufumbua macho. Ujinga wa wakenya wengi humu ni kwamba hamujui chochote kinachoendelea kwenye mataifa mengine ya Africa, ndio mama labda mnapenda kutumia adjectives. 🤣🤣
I kindly accept the challenge… let me warm up…
 
Hata hao Wakoloni wazungu, Wajerumani, walianza na reli kwanza toka Dar mpaka Kigoma. Barabara tumekuja kujenga wenyewe hii juzi.

Wewe ni moja ya watu wasio na akili humu.
Kipindi bashe anaunga mkono kuuza chakula nje watu tulipinga humu huyo jamaa yako akawa anaunga mkono na kejeli juu kwa sie tuliekua tunapinga,baada ya muda mama samia akapiga marufuku kuuza chakula nje jamaa yako akaunga mkono na hadi kuwatukana waliokua wanapinga,chawa ni wa kuombewa mkuu wala si kubishana nao
 
Yaani Jamaa ni Mazuzu kweli Ni vibendera Fuata Upepo sasa Hao kweli Unapoteza muda kuwajibu!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kisa alianzisha magufuli ndio kinachokuuma hebu ww niambie nn kaanzisha huyu mama mm nicheke sasa hvi? Legacy ya huyo unaemchukia haiwezi kuisha vizazi na vizazi hata ufanye ufyoko gani

Huyu rais kazi iendeelee maana yake kazi zote zilishafanywa yeye anaendeleza tu ndio maana yake ila usije ukafkiri legacy ya yule mwamba itapotea never ever, mwamba alietikisa africa hii, mpaka wakenya wakaomba aende kwao akaongoze

Na kama ulisoma uchumi basi itakua uchumi wakuuza mitumba au hesabu za dukani kama ulienda kusoma chuo kikuu nenda ukadai ada yako mara moja 🤣🤣

Shida yako ww hakuna asieijua humu ndani hutaki magufuli legacy yake itawale leo bila yeye ungekua unasifu ndege za ATCL haha au hujui hata hio ndege ya mzigo iliokuja juzi ilikua kwenye order ya kipindi chake??🤣🤣

Ww kama unachuki mm nakwambia chuki zako ww hazitafanya legacy ya mwamba kuonekana mark my words 😅😅😅😅

Na tusikuone ukipost picha za SGR ukipost tu tunakushika kalio kwa nguvu😅😅😅😅
Uyo msenge sio tu SGR, karibu 90% ya anavyo post humu vilianzishwa awamu ya tano, anapost daraja la gerezani alafu anamtukana Magufuli, anapost vituo vya afya alafu anamtukana Magufuli, haya mambo tulishaachana nayo lkn hili choko la njombe linapenda sn mipasho ndio maana linarudisha huo ujinga humu.
 
Kipindi bashe anaunga mkono kuuza chakula nje watu tulipinga humu huyo jamaa yako akawa anaunga mkono na kejeli juu kwa sie tuliekua tunapinga,baada ya muda mama samia akapiga marufuku kuuza chakula nje jamaa yako akaunga mkono na hadi kuwatukana waliokua wanapinga,chawa ni wa kuombewa mkuu wala si kubishana nao
Kwanza usimlishe Rais na Waziri maneno,hao hawana akili za kindezi kama za nyie wajamaa mbuzi.

Hakuna mahala ambapo waliowahi zuia exports na hata kesho naweza kukupa msururu wa Malori yakifanya exports ya mazao.

Walichofanya ni Kuzuia kwenda Kwa mkulima.ditectly Kwa wafanyabiashara hasa wa Kenya ambapo Serikali ililosa mapato na Waziri alitoa mfano mzuri tuu kwamba Ulichukua takwimu za Uganda na Kenya zinaonyesha wame import sana kutoka Tzn yet upande wa Tzn hizo takwimu hazipo means Kuna utoroshaji nk.

Kwa Samia Kilimo ni biashara sio kufukarisha Wakulima kama awamu ya 5 na juzi hapo.Singida amesema tulime watanunua maana plan ni kuwa na uwezo wa kuhifadhi tan mil.1 Kwa mwaka na tutapiga jembe Ili tuvune pesa za Samia kabla ya mataahira wengine kushika hatamu.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1714962087263248433?t=fV9INHnESr7oSEBupUtLvA&s=19
 
Dozi unajipa mwenyewe maana kama ni umeme ukikatika na kwako pia unakatika,petrol tunanunua wote bei 1,machawa wanapitia yote mabaya tunayopitia wengine
Unatafutiza matatizo 😆😆😆 hata kukatika Kwa umeme ni Changamoto ya mahitaji makubwa ya maviwanda na watu,isingekuwa hivyo umeme ungetosha kabisa.

Mwisho Changamoto ya umeme ni ya kitambo tuu,mvua zilishuka tuu mgao unaisha ,mwezi wa 6 mwakani mtambo wa kwanza wa bwawa unawashwa na kama kutakuwa na demand zaidi tutakuwa tumekamilisha kuunganisha grid na Kenya tunaingiza umeme wa Ethiopia (East Africa electricity pool).

View: https://www.instagram.com/p/Cylug_dotau/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Kipindi bashe anaunga mkono kuuza chakula nje watu tulipinga humu huyo jamaa yako akawa anaunga mkono na kejeli juu kwa sie tuliekua tunapinga,baada ya muda mama samia akapiga marufuku kuuza chakula nje jamaa yako akaunga mkono na hadi kuwatukana waliokua wanapinga,chawa ni wa kuombewa mkuu wala si kubishana nao
Kwani we unadhani uyo jamaa anamkubali Samia? Huyo adui yake ni Magufuli, yani yeye alikuwa tayari kumshabikia yeyote yule hata angekuwa paka na sio Magu, tatizo anachoumbuka ni pale Samia anaendeleza yale yale ya Magufuli aliyoyaacha, na ndiyo maana akasema kazi iendelee, jamaa kila anachopost 90% vilianzishwa na awamu ya tano lkn bado hapo hapo anajifanya chizi, ok hakuna haja ya kurudisha haya mambo, tatizo jamaa wa mipasho mpk leo bado ametawaliwa na Magufuli kichwani mwake, cjui alimfanyaje au sijui alimfi.ra yn ata sielewi hii chuki inatoka wapi.
 
Back
Top Bottom