The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Unatafutiza matatizo 😆😆😆 hata kukatika Kwa umeme ni Changamoto ya mahitaji makubwa ya maviwanda na watu,isingekuwa hivyo umeme ungetosha kabisa.
Mwisho Changamoto ya umeme ni ya kitambo tuu,mvua zilishuka tuu mgao unaisha ,mwezi wa 6 mwakani mtambo wa kwanza wa bwawa unawashwa na kama kutakuwa na demand zaidi tutakuwa tumekamilisha kuunganisha grid na Kenya tunaingiza umeme wa Ethiopia (East Africa electricity pool).
View: https://www.instagram.com/p/Cylug_dotau/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Bwawa lipi unalozungumzia, we c unasemaga humu kujenga bwawa ni upuuzi?