Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwe unasoma na kuelewa,wewe ni mpumbavu.

Mkoloni alikuwa na projects za mashamba ndio akajenga reli,hakujenga reli kama pambo kama mnavyofanya nyie.

Mkoloni alikuwa na mashamba makubwa ya mkonge,pamba,karanga ,chai ,kahawa nk ndio akaweka reli kusafirisha Hilo.

Nyie mbumbumbu mnajenga Sgr Ili mkavunie nini?
Unaongea kwa uchungu sana, haya kulikoni?
 
Unaongea kwa uchungu sana, haya kulikoni?
Ongea yangu siku zote japo yanaudhi sana hayo mawatu.

Mifano ipo wazi ya jinsi reli zimeleta hasara lakini hayaelewi.

Si ajabu Kuna ripoti ya Mchambuzu anasema miradi mikubwa mikubwa ya Nchi za Africa haijawahi kuwa na Tija zaidi ya kuongeza umaskini na kutumia na wenye maamuzi kujipatia pesa za haramu.

Reli Huwa zinajengwa kuja ku transport mzigo ambao upo tayari umezalishwa tofauti na hapo ni hasara.Usafirinwa reli Huwa hau stimulate uchumi.
 
Reli zinajengwa baada ya kuwa mtandao wabarabara umeimarika Kila sehemu na kuchochea uzalishaji.

Kujenga reli kabla ya kuimarish mtandao wa Barabara ni upumbavu Kwa sababu reli hai stimulate production Bali inaenda ku transport kitu ambacho kipo tayari.

Sasa mnajenga Sgr huko Kigoma,Mwanza sijui Burundi Ili ikabebe nini? Hamjifunzi hata Kwa wakoloni?

Mnakoelekea mtaanza kuleta utoto wa kusema usafiri wa treni ni Huduma sio biashara hapo ni baada ya mahasara ambayo yatatulemea hapo baadae.

Unakula hasara kwenye ujenzi na kunakula hasara baada ya kuanza operations.Hata mtetee vipi na mtukane vipi hiyo ni blander itakuwa ya kupigia picha tuu humu ila ni useless na tembo mweupe.
Hata hao Wakoloni wazungu, Wajerumani, walianza na reli kwanza toka Dar mpaka Kigoma. Barabara tumekuja kujenga wenyewe hii juzi.

Wewe ni moja ya watu wasio na akili humu.
 
Hata hao Wakoloni wazungu, Wajerumani, walianza na reli kwanza toka Dar mpaka Kigoma. Barabara tumekuja kujenga wenyewe hii juzi.

Wewe ni moja ya watu wasio na akili humu.
Walijenga baada ya kuanzisha projects za uzalishaji uwe unaelewa.

Hawakujenga mapambo kama mnavyofanya nyie
 
Palestina yenyewe fukara, Tanzania Fukara. Alafu mnatembeza bakuli Palestina.
Umesoma na kuelewa au ulikua umelala.Palestina yaomba kuanzisha kituo Cha michezo.Nani kaomba hapo? Unafikiri hicho kituo Cha michezo ni kwa ajili yetu au wapalestina? Kumbuka Palestine wanaishi kama njiwa hivyo anataka kukuza vipaji vyao hapa ndio maana waziri kasema watatafakari maombi hayo.
 
Bwana ichoboy01 naona ukiumia sana hivi karibuni. Hii Konza itakutoa Kamasi. Subirini hapahapa
download (31) (4).jpeg
 
Back
Top Bottom