Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR itajengwa na legacy ya mwamba iko pale pale na bi mkubwa kazi iendelee kweli anaendeleza kazi za mwamba 😅😅😅

Kidume alietikisa africa nzima mpaka duniani sio mchezo, ukiskia vita alivopigwa kujengwa bwawa la nyerere hakuna rais yoyote angesimama na vita hvo 😅😅😅

Hapa kazi tu...... Kazi iendelee

Nimemaliza kama hupendi legacy yake endelea kuumia kwa juhudi zote
Lazima itajengwa huwezi acha ikiwa tayari 14T zimepotea ,kuacha ni hasara mara 2.

Unfortunately kwenye mawe ya Msingi jina la Samia litaonekana hiyo legacy yenu itakufa mtakapojufa nyie ila historia itamuandika Samia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sio ombi ni lazima afate na atekeleze alioyaacha mwamba sio ombi narudia ni lazima unajua kwann kwasababu kazi iendelee sio isimame lahasha

Hakuna mtanzania mjinga sasa hvi watanzania wote wanajua a to z 😅😅😅
 
Alishasema mapema kwamba Sgr ingekuwa mwanzoni ingeachwa ila kuwezi acha 14T zipoteee.

Tushaingizwa Cha kike na Mwamba wenu Hatuwezi kula hasara mara mbili but tutatekeleza Kwa spidi tinayotaka na sio vinginevyo.

Mwisho kabisa Samia anawapelekea moto Hadi mnapoteana,ndani ya miaka 3 she has an austanding performance as a game changer 🔥🔥🔥
 
IMG_1207.jpeg
 
Reborn Ktb nilikwambia kwamba mechi zinahusisha Simba au yanga ndani ya Lupaso stadium huwa ni full house show 👇View attachment 2786836.. 60k people, Halaf ndio mpewe nyinyi opening ceremonies za AFCON nakunya kutoka Tanga mjini hadi Jasini. Vanga yote naitia mavi m'maambegesi 🤣🤣
Haha, wanajaza stadium to watch amateur African football.
Ujinga tupu.
Watu wafanye kazi.
 
Alafu kuna wajinga wanakuambia eti fainali ya AFCON itachezeka kwao, hawaoni jinsi tunavyojiandaa 4 years before the tournament tayari tushaanza maandalizi, wao maandalizi yao ni render alafu wanaweka na vineno "oohh my goodness, this talanta football stadium will be the best ever" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom