Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,688
- 107,131
Alaf ina almost 20yrs sasa 🤣🤣🤣🤣 hata 1% of its render haijafikaAlways jua kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2786247View attachment 2786248
Babuuu sema wewe mtu wa yeboyebo! Kinaeleweka... 😀😀Yeye anasema tutegemee kuona simba nikamwambia ni mpaka iingie robo ndio mechi zitaoneshwa 😅😅😅😅
Nachojua sababu za why not Kenya na Kwa nini Tanzania ziliwekwa wazi,nani aliileta au hakuileta hata asingekuwepo Bomba lingejengwa upande wa Tanzania.Ililetwa na nani hii na nani aliwanyan'ganya tonge mdomoni wa kenya??😅😅😅
Ingekuwa ni Yanga na Al ahly wallahi pangechimbika, yani ingekuwa bonge la game, na ndio siku Arsene Wenger na wenzake wangetii kwamba Africa kuna mpira wa kuvutia sana.Babuuu sema wewe mtu wa yeboyebo! Kinaeleweka... 😀😀
Nachojua sababu za why not Kenya na Kwa nini Tanzania ziliwekwa wazi,nani aliileta au hakuileta hata asingekuwepo Bomba lingejengwa upande wa Tanzania.
Hizo fix mnaweza wadanganya mbumbumbu mliokuwa mnawafanyia maigizo kama haya 👇View attachment 2786254
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nachojua sababu za why not Kenya na Kwa nini Tanzania ziliwekwa wazi,nani aliileta au hakuileta hata asingekuwepo Bomba lingejengwa upande wa Tanzania.
Hizo fix mnaweza wadanganya mbumbumbu mliokuwa mnawafanyia maigizo kama haya 👇View attachment 2786254
Unamdanganya nani kwamba Barabara haikai mda mrefu? Tanzania tunajenga Barabara zenye life span ya miaka 10?Ww unawaza barabara lakini maintenanace ya barabara ni kubwa sana sana alaf barabara haikai muda mrefu imezidi sana 10 yrs tena hio kwa kubembeleza na viraka juu na maintenanace za kutosha lakini reli inauwezo wakukaa hata miaka zaidi ya 50 mpaka 100, reli ni muhimu ww kama huoni umuhimu wa reli safiri walau uende hata ugahibuni ukasafishe hzo kokwa
Alaf pili tanzania inakadiriwa kua na watu mara mbili ya sasa after 30yrs unategemea nn ww?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna akili sio kosa lako
Jamaa unazingua sanaUnamdanganya nani kwamba Barabara haikai mda mrefu? Tanzania tunajenga Barabara zenye life span ya miaka 10?
Harafu kwani hujui kwamba kuchoka Kwa sababu ni load repetition? Barabara zikiwa na connectivity na network kubwa huko kuchoka kutakujaje?
Barabara zinachoka Kwa sababu ni chache Kwa hiyo ziko overutilised eg ukitoka Njombe unataka kwenda Moro lazima uje Tanzam highway ,hivyo hivyo na Barabara zingine.
Lakini endapo mtandao wa lami wa km 30,000 Highway na Regional Road zingekuwa zimejengwa,barabara.zisingekuwa na loading kubwa hivyo zingedumu zaidi ya miaka 30 Kwa maintenance ndogo ndogo sana.
Tanznaia Kuna mzigo gani wa kuhitaji Sgr,upi huo? Burundi na Rwanda Kuna nini Cha maana huko? Kama Tazara imeshindwa kuondoa Malori barabarani sembuse hiyo Sgr tembo mweupe?
Mwisho Barabara zinafungua na kuchochea uchumi,reli bila kuwa na Cha kusafirisha ni mzigo mwingine View attachment 2786272
Nazingua au wewe ndio una interest zako na Sgr? Nimekwambia kama reli ni muhimu Kwa nini imeshindwa kuondoa Malori Barabara ya Tanzam?Jamaa unazingua sana
Tujiulize hapa, Samia anasema zamani kilio kikubwa ilikuwa maji, umeme, vituo vya afya na shule, lkn kipindi cha miaka miwili na nusu hiyo imekuwa sio shida tena, sasa nikuulize wewe mwenye akili, Samia ana miaka mingapi tangu awe Rais?Huna akili sio kosa lako View attachment 2786276
Miaka 2.5,Uliza swali jingineTujiulize hapa, Samia anasema zamani kilio kikubwa ilikuwa maji, umeme, vituo vya afya na shule, lkn kipindi cha miaka miwili na nusu hiyo imekuwa sio shida tena, sasa nikuulize wewe mwenye akili, Samia ana miaka mingapi tangu awe Rais?
View attachment 2786318
Bado mnaongelea hiii story ya hiii oil !!Ililetwa na nani hii na nani aliwanyan'ganya tonge mdomoni wa kenya??😅😅😅
Ww akili yako bado finyu sana hakuna mtu anakataa barabara usijengwe ila usituambie hapa kua reli haina umuhimu ondoa hilo pepo kichwani mwako, nchi zote zilizoendelea reli ni kichocheo kikubwa sana kwenye uchumi wa nchi, barabara lifespan yake unasema ni 10yrs lakini ndani ya 5yrs kuna viraka kibao vinazibwa ambazo ni pesa zinatunika tena,Unamdanganya nani kwamba Barabara haikai mda mrefu? Tanzania tunajenga Barabara zenye life span ya miaka 10?
Harafu kwani hujui kwamba kuchoka Kwa sababu ni load repetition? Barabara zikiwa na connectivity na network kubwa huko kuchoka kutakujaje?
Barabara zinachoka Kwa sababu ni chache Kwa hiyo ziko overutilised eg ukitoka Njombe unataka kwenda Moro lazima uje Tanzam highway ,hivyo hivyo na Barabara zingine.
Lakini endapo mtandao wa lami wa km 30,000 Highway na Regional Road zingekuwa zimejengwa,barabara.zisingekuwa na loading kubwa hivyo zingedumu zaidi ya miaka 30 Kwa maintenance ndogo ndogo sana.
Tanznaia Kuna mzigo gani wa kuhitaji Sgr,upi huo? Burundi na Rwanda Kuna nini Cha maana huko? Kama Tazara imeshindwa kuondoa Malori barabarani sembuse hiyo Sgr tembo mweupe?
Mwisho Barabara zinafungua na kuchochea uchumi,reli bila kuwa na Cha kusafirisha ni mzigo mwingine View attachment 2786272
Uyo miyeyusho sana uyo jamaa, na usidhani kwamba anampenda Samia wala, huyo hasira zake zipo kwa JPM baada ya kupasua kende zake, yani JPM hata angerithiwa na mavi jamaa angeyasifu mavi kwa chuki na hasira alizonazo juu ya mwamba.Jamaa unazingua sana
Reli zinajengwa baada ya kuwa mtandao wabarabara umeimarika Kila sehemu na kuchochea uzalishaji.Ww akili yako bado finyu sana hakuna mtu anakataa barabara usijengwe ila usituambie hapa kua reli haina umuhimu ondoa hilo pepo kichwani mwako, nchi zote zilizoendelea reli ni kichocheo kikubwa sana kwenye uchumi wa nchi, barabara lifespan yake unasema ni 10yrs lakini ndani ya 5yrs kuna viraka kibao vinazibwa ambazo ni pesa zinatunika tena,
Ww usituambie sisi reli haina umuhimu never ever tena kwa population inavokwenda tanzania reli itahitahika kila mkoa
Nenda kaangalie reli ya pugu inaondoka na watu wangapi kwa trip moja unaeza fananisha na barabara hapo??😅😅
Eti barabara zinachoka kwasababu ni chache nimecheka sana alooo🤣🤣🤣🤣
Kama ulisoma ww nenda kadai ada yako bro
SGR itaishi miaka 100 baada ya miaka 30 tanzania itakua na population ya watu zaidi ya 100m haya nipe majibu hapo??🤣🤣🤣