Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mnaongelea hiii story ya hiii oil !!
Kitu haitawahi jengwa
Hata ufanye nn huwezi zuia EACOP, tuliwazidi akili so vumilieni tu hamna namna, nchi yenu security ni ndogo sana hamuwezi miliki vitu expensive kama the world longest oil pipeline ni very terrible. Hakuna investor ata risk pesa yake namna hyo, investor huko Kenya labda awekeze vitu cheap kama majengo na expressway 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huna akili wewe, niambie ndani ya hiyo miaka miwili kajenga nn from the scratch.
Tulia hapo hapo nikuelezee
-Bwawa la Kidunda bil.350
-Miradi ya maji Miji 28,Over 1Trilion
-Bwawa Farkwa over 350
-Vituo vya Afya 234 +212(on progress)
-Viwanja vya ndege Mikoa 11
-Sgr ya Makutopora-Dom,Tabora-Isaka
-HEET Project over 14 Universities countywide (Kuna Trilion 1)
-Shule za High School 26 Mikoa yote
-Bandari ya Uvuvi Kilwa
-Barabara over 4,000km road under construction Nchi nzima(Mwendazake alijenga less than 2,500 km)
-Hospitals ndio usiseme eg Kigoma Referral Hospital, Hospital Maalumu ya Watoto Dom, Hospital ya Jeshi Dom etc
-Amenunua CT Scan Hospital zote Tanzania,Amenunua MRI Machine Hospital zote za Kanda Tanzania
-Amejenga majengo 200 yakiwa full equiped na vifaa tiba
-Anajenga Scheme za Umwagiliaji Nchi nzima over 360bln
-Miradi ya maji ya Ruwasa zaidi ya 1,000 ya size ya kati
-Miradi mikubwa ya Maji eg Myo kiwira Mbeya(200b),Nachingwea-Liwale(180b),Songea(130b)

Kiufupi nitajaza seva maana hapo sitataja maelfu ya shule za Sekondari kawaida na msingi maana Kuna mradi wa Sequip na Boost ni zaidi ya Trilioni 3 Kwa pamoja.

Sijataja Tactic Ujenzi umeanza

Sijataja mabwawa ya maji ya Irrigation na Matumizi ya kawaida

Sijataja kongani za Viwanda

Sijataja miradi ya Mwendazake aliyokamilisha na anayoendelea nayo

Sijataja meli kubwa ambazo ujenzi wake umezindukiwa juzi hapo

Sijataja Maelfu ya Barabara za Tarura kufungua Nchi.

Mwisho sijataja maelfu ya Ajira ,kiufupi nitajaza seva,uwe unapitia hata Bajeti za Wizara utapata majibu.

My Take
Msimlinganishe Samia na mtu ambae hajui kutafuta pesa Wala hana guts za Uchumi.TRA Mwendazake from 800bln/M to 1.4T/M(5yrs)(600bln)

Samia TRA from 1.4T/M to 2.1T/M(2.5yrs)(700bln)
Screenshot_20231008-072421.jpg
 
Sukuma gang endeleeni kuniuliza maswali mshiishie kutoa povu tuu Niko hapa kuwajibu.

Sekta zote hata zilizomshinda Jiwe wewe Uliza utapata jibu ,Samia aka mama wa Taifa ni kiboko ya kutafuna mifupa iliyowashinda kuanzia kwenye uviko 19 Hadi Ngorongoro Kwa Masai na Sasa DP World.

Uliza swali lolote ,kawalipa pesa Hadi waliotimukowa na Mwendazake Kwa visingizio vya Cheti fake ,badala aseme hana pesa anatafuta visingizio na maigizo 😆😆😆😆
 
Tulia hapo hapo nikuelezee
-Bwawa la Kidunda bil.350
-Miradi ya maji Miji 28,Over 1Trilion
-Bwawa Farkwa over 350
-Vituo vya Afya 234 +212(on progress)
-Viwanja vya ndege Mikoa 11
-Sgr ya Makutopora-Dom,Tabora-Isaka
-HEET Project over 14 Universities countywide (Kuna Trilion 1)
-Shule za High School 26 Mikoa yote
-Bandari ya Uvuvi Kilwa
-Barabara over 4,000km road under construction Nchi nzima(Mwendazake alijenga less than 2,500 km)
-Hospitals ndio usiseme eg Kigoma Referral Hospital, Hospital Maalumu ya Watoto Dom, Hospital ya Jeshi Dom etc
-Amenunua CT Scan Hospital zote Tanzania,Amenunua MRI Machine Hospital zote za Kanda Tanzania
-Amejenga majengo 200 yakiwa full equiped na vifaa tiba
-Anajenga Scheme za Umwagiliaji Nchi nzima over 360bln
-Miradi ya maji ya Ruwasa zaidi ya 1,000 ya size ya kati
-Miradi mikubwa ya Maji eg Myo kiwira Mbeya(200b),Nachingwea-Liwale(180b),Songea(130b)

Kiufupi nitajaza seva maana hapo sitataja maelfu ya shule za Sekondari kawaida na msingi maana Kuna mradi wa Sequip na Boost ni zaidi ya Trilioni 3 Kwa pamoja.

Sijataja Tactic Ujenzi umeanza

Sijataja mabwawa ya maji ya Irrigation na Matumizi ya kawaida

Sijataja kongani za Viwanda

Sijataja miradi ya Mwendazake aliyokamilisha na anayoendelea nayo

Sijataja meli kubwa ambazo ujenzi wake umezindukiwa juzi hapo

Sijataja Maelfu ya Barabara za Tarura kufungua Nchi.

Mwisho sijataja maelfu ya Ajira ,kiufupi nitajaza seva,uwe unapitia hata Bajeti za Wizara utapata majibu.

My Take
Msimlinganishe Samia na mtu ambae hajui kutafuta pesa Wala hana guts za Uchumi.TRA Mwendazake from 800bln/M to 1.4T/M(5yrs)(600bln)

Samia TRA from 1.4T/M to 2.1T/M(2.5yrs)(700bln)
View attachment 2786363
Chawa wa Mama! 😂😂😂
 
Reli zinajengwa baada ya kuwa mtandao wabarabara umeimarika Kila sehemu na kuchochea uzalishaji.

Kujenga reli kabla ya kuimarish mtandao wa Barabara ni upumbavu Kwa sababu reli hai stimulate production Bali inaenda ku transport kitu ambacho kipo tayari.

Sasa mnajenga Sgr huko Kigoma,Mwanza sijui Burundi Ili ikabebe nini? Hamjifunzi hata Kwa wakoloni?

Mnakoelekea mtaanza kuleta utoto wa kusema usafiri wa treni ni Huduma sio biashara hapo ni baada ya mahasara ambayo yatatulemea hapo baadae.

Unakula hasara kwenye ujenzi na kunakula hasara baada ya kuanza operations.Hata mtetee vipi na mtukane vipi hiyo ni blander itakuwa ya kupigia picha tuu humu ila ni useless na tembo mweupe.
Wale wakoloni miaka ya 1914 kwann walijenga reli wakaacha barabara ?? Au wale walikua wapumbavu kuliko wewe ??🤣

Shida yako ww unataka akili za ki beberu kila mtu awe nazo, china ni tishio kwenye ulimwengu huu lakini ndio nchi inaongoza kwa mtandao wa reli dunia nzima so wao ni wajinga kuliko wewe muuza mitumba??

Hao mabeberu wenyewe wanategemea reli kama huna taarifa 😅😅😅😅😅

Burundi inaonganisha congo kwenye mzigo mwingi zaidi, mwanza wana target soko la uganda, ww ulitaka wajenge kwenda wapi uyole au?? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uyo miyeyusho sana uyo jamaa, na usidhani kwamba anampenda Samia wala, huyo hasira zake zipo kwa JPM baada ya kupasua kende zake, yani JPM hata angerithiwa na mavi jamaa angeyasifu mavi kwa chuki na hasira alizonazo juu ya mwamba.
Leo anaiponda sgr kesho utashangaa anaipost. Hata yeye mwenyew haelew misimamo yake
 
Wale wakoloni miaka ya 1914 kwann walijenga reli wakaacha barabara ?? Au wale walikua wapumbavu kuliko wewe ??🤣

Shida yako ww unataka akili za ki beberu kila mtu awe nazo, china ni tishio kwenye ulimwengu huu lakini ndio nchi inaongoza kwa mtandao wa reli dunia nzima so wao ni wajinga kuliko wewe muuza mitumba??

Hao mabeberu wenyewe wanategemea reli kama huna taarifa 😅😅😅😅😅

Burundi inaonganisha congo kwenye mzigo mwingi zaidi, mwanza wana target soko la uganda, ww ulitaka wajenge kwenda wapi uyole au?? 🤣🤣🤣🤣🤣
Kule Uyole ile ya TAZARA mataruma wanapasulia nazi!
 
Nazingua au wewe ndio una interest zako na Sgr? Nimekwambia kama reli ni muhimu Kwa nini imeshindwa kuondoa Malori Barabara ya Tanzam?

Wewe Kwa akili Yako Kuna mtu ataacha kupanda Bus eti Kwa sababu ya Sgr? Mwendokasi imeondoa daladala mjini?

Jenga Barabara kwanza zifufue uchumi ndio ujenge reli,hakuna mkoloni alijenga reli Kwa sifa kulikuwa na project walizozilenga
Haya bana..
 
Back
Top Bottom