Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mnapenda "wajomba" wawaletee maendeleo wakati duniani hapa hakuna kitu kama hicho.
Chamoto…. My guts tells me you have lived abroad or you are still there… you are one of about 3 Tanzanians in this thread who question things about your country….. I wonder what Geza errand boy and Best 007 think of you… Your CCM card am sure has been revoked..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata mimi nawashangaa manaposifu mama yenu kwenda kutafuta "wajomba" wa maendeleo.

Halafu wewe ChoiceVariable mbona huwa haueleweki kimtazamo, kwenye vita ya Ukraine, uko upande wa Nato, sasa hivi vita pale Gaza uko upande wa Hamas, wapi na wapi?
Huyo shule alikua mtalii, muda mwingi Madrasa, kitaa wajinga wenzake wakamshika masikio kuhusu ujamaa.

waweza ona ni mtu wa aina gani😂
 
Can you please post similar numbers without Zanzibar… let’s see Tanganyika performance…🤣🤣🤣
Nyie mafala GDP yenu ni 113 na sio 119 kama huyo Ng'ombe NairobiWalker alivyoandika hapo juu
20231013_144151.png
 
Wewe Coodip1 …. Bado we are waiting on your enlightenment about how Soccer is African but rest of sports are not…. I got my paper and pen ready for class notes…😄😄😄
 
Hata mimi nawashangaa manaposifu mama yenu kwenda kutafuta "wajomba" wa maendeleo.

Halafu wewe ChoiceVariable mbona huwa haueleweki kimtazamo, kwenye vita ya Ukraine, uko upande wa Nato, sasa hivi vita pale Gaza uko upande wa Hamas, wapi na wapi?
Achana naye huyo ni Ndumila Kuwili na Usipoteze mudawako kumfuatilia
 
Back
Top Bottom