Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chamoto hawezi kukuelewa! Swali ni kama kwenye utalii wa mbuga na fukwe tunaruhusu wawekezaji kujenga mahoteli, mbona kwenye utalii wa matibabu tusiruhusu wakina Apollo wajenge mahospitali ya kisasa na kuleta madaktari bingwa? Hii maneno ni zaidi ya uelewa wa Chamoto!
Sukuma gang wako desperate na legacy kufunikwa so Huwa sihangaiki na mapovu Yao ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mimi Huwa nawasomesha data tuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nikiwaambia hakuna Rais wa hapo awali anaweza mfikia Samia kwenye Uchumi Huwa wanatoa povu tuu.

Mfano Kwa Sasa ndani ya miaka 2 amepandisha Per Capita kutoka dola 2 Hadi 3,GDP kutoka Dola 67b Hadi 85b hivyo hivyo across sectors.

Huko TRA kutoa wastani wa 1.5T hardly gained na awamu ya 5 Kwa mwezi Hadi 2.1T just within 2 years (Bil.600).

Kuna Rais amewaongezea TRA bil.500 tu Kwa miaka 5 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ona hili lodilofa la Shakahola linavyojifariji ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kunyaland - Increasing at decreasing rate harafu unajifariji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ni ndogo on absolute values na sio kwenye growth rates.Tanzania tuko na $85B na twende Kwa Mwendo huu huu harafu tukutane 2028-2030View attachment 2780536
Haya, wachana na percentages sasa calculate the difference between the nominal GDPs alafu uone ulivyo mjinga. Small percentages on a huge figure create a very huge gap. Ask yourself why developed countries are not among the fastest growing economies yet some of them record an increase of more than $500B a year
 
Nimekupa hiyo trend,the fact of the matter ni kwamba we are bridging the gap.

Tukutane 2028-2030
 
Such income gap ndio sababu mnaongoza Kwa kuwa na slums Dujia nzima na ulivyo kiazi unajisifia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Bora Johas Sasa Kwa Kunyaland ni 90% ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa hivyo if one city contributes more to a country's GDP the country has a higher income gap? Tokyo contributes 30% of Japan's GDP, Seoul contributes 25% of South Korea's GDP. Nairobi contributing 27% of Kenya's GDP is where income gap arises?
 
Nimekupa hiyo trend,the fact of the matter ni kwamba we are bridging the gap.

Tukutane 2028-2030
You have been bridging the gap since 2003 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom