Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiki ndio kijiji kitahost Africa Cup?
View attachment 2780995
Hiki hapa kijiji ndio kita host AFCON na fainali pia 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20231011-111417~2.png
Screenshot_20231011-111120~2.png
screenshot_20231012-224151-2-png.2781072
Screenshot_20231011-204342~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20231012-224151~2.png
    Screenshot_20231012-224151~2.png
    246.3 KB · Views: 24
Uri mwega.
Hahaha…. Kwani wewe ni wale Wakikuyu wanaishi Bongo…. 😄😄..Lakini every Kenyan in this thread takes you seriously since you debate intelligently….that’s why I insist you are based somewhere abroad…
 
Haibadilishi historia ya kuwafunga miaka 10 😂
Mnafosi tuwe sawa ila sisi kwenye soka hatupo sawa na nyinyi na wala hatushindani na nyinyi, tushatoka huko kushindana na vitimu vya region ya kipuuzi na isiyojua soka ya EA, level zetu ndio hizo unaziona Morocco, Congo, Nigeria et al sio nyie EA. Hata kwa ngazi ya vilabu level zetu mnazifahamu kwa sasa ni Al ahly, Mamelody et al.

Msifosi tufanane na sio kila kitu cha kushindana nendeni mkashindane kwenye mbio za mita 10,000 but not soccer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha…. Kwani wewe ni wale Wakikuyu wanaishi Bongo…. 😄😄..Lakini every Kenyan in this thread takes you seriously since you debate intelligently….that’s why I insist you are based somewhere abroad…
Mwai Sadima Dickson ulivyofala unadhani kuishi abroad ndiyo ujanja huku ukibeba mabox na trekta lako.
 
Back
Top Bottom