The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,066
- 1,182
Keep on waiting for 2030 ππππππ
We maskini wa Narok katafute pesa kwanza badala ya kupiga blaa blaa humu jf wakati ndugu zako wanakufa Kwa njaa huko Mandela π€ͺπ€ͺ
We maskini wa Narok katafute pesa kwanza badala ya kupiga blaa blaa humu jf wakati ndugu zako wanakufa Kwa njaa huko Mandela π€ͺπ€ͺ
View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1712725861013524944?t=ullzPKa0zUMQV6i86M_acw&s=19
Hivi hizi akili za kutokuweza kufanya mambo yenu muhimu mpaka wajomba "wawaletee" mnazitoa wapi? Mbona kwenye kutafuta watoto hamuombi wanaume wenzenu wawasaidie?
kwani serikali haifanyi yake pia? Wewe uko dunia ipi?Hivi hizi akili za kutokuweza kufanya mambo yenu muhimu mpaka wajomba "wawaletee" mnazitoa wapi? Mbona kwenye kutafuta watoto hamuombi wanaume wenzenu wawasaidie?
Wajomba gani wanaokuletea?Hivi hizi akili za kutokuweza kufanya mambo yenu muhimu mpaka wajomba "wawaletee" mnazitoa wapi? Mbona kwenye kutafuta watoto hamuombi wanaume wenzenu wawasaidie?
Nyinyi mnapenda "wajomba" wawaletee maendeleo wakati duniani hapa hakuna kitu kama hicho.Wajomba gani wanaokuletea?
Wajomba gani wanaokuletea maendelea weweNyinyi mnapenda "wajomba" wawaletee maendeleo wakati duniani hapa hakuna kitu kama hicho.
Hata mimi nawashangaa manaposifu mama yenu kwenda kutafuta "wajomba" wa maendeleo.Wajomba gani wanaokuletea maendelea wewe
Choicevariable huwa haeleweki mkuu, me cku hz nmeamua kumuacha tu twende hvyo hvyo, mana utakuta hamtaki JPM lkn vitu vya JPM vyote anavishabikia, kuanzia majini, angani mpaka nchi kavu. Excuse yake anakuambia mradi gn alimaliza, kwahiyo yeye alitaka amalizie akiwa kaburini? Nchi si yetu wote yeye akifa manaake tusiendeleze alichoanzisha?Hata mimi nawashangaa manaposifu mama yenu kwenda kutafuta "wajomba" wa maendeleo.
Halafu wewe ChoiceVariable mbona huwa haueleweki kimtazamo, kwenye vita ya Ukraine, uko upande wa Nato, sasa hivi vita pale Gaza uko upande wa Hamas, wapi na wapi?
Kwanza upande upi uchague ni swala binafsi but general rule ni kwamba kimsingi Huwa sipendi uonezi na kunyanyasa wengine Kwa sababu wewe unajikuta saana.Hata mimi nawashangaa manaposifu mama yenu kwenda kutafuta "wajomba" wa maendeleo.
Halafu wewe ChoiceVariable mbona huwa haueleweki kimtazamo, kwenye vita ya Ukraine, uko upande wa Nato, sasa hivi vita pale Gaza uko upande wa Hamas, wapi na wapi?
Wajomba gani hao?Nyinyi mnapenda "wajomba" wawaletee maendeleo wakati duniani hapa hakuna kitu kama hicho.