NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,055
- 19,268
Which record?😂Kikubwa tumefuzu na tumeweka record, hayo ya kufungwa hayatuhusu.
Which record?😂Kikubwa tumefuzu na tumeweka record, hayo ya kufungwa hayatuhusu.
Yes that why we are growing faster than you. Kwani wewe nyumbu unaonaje?You have been bridging the gap since 2003 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni sawa nyie endeleeni kungoja 2030 ndio muwe powerhouse 😂😂😂😂😂. Lakini kwa sasa we are ahead of you na sisi ndio poerhouse, continue working hard on bridging that gap.Yes that why we are growing faster than you. Kwani wewe nyumbu unaonaje?
Ni just 7 years Wala sio miaka Mingi mtaanza kutusalimia Shikamoo 😆😆Ni sawa nyie endeleeni kungoja 2030 ndio muwe powerhouse 😂😂😂😂😂. Lakini kwa sasa we are ahead of you na sisi ndio poerhouse, continue working hard on bridging that gap.
Ndio tukutane 2030 😂😂😂😂. Kwa sasa Kenya ndio nambari 1 💪💪💪💪Nimekupa hiyo trend,the fact of the matter ni kwamba we are bridging the gap.
Tukutane 2028-2030
We have the capacity and resources ndio maana tuna miradi ambayo Kunyaland nzima hamtakuja kuwa nayo Hadi wanakuzikaKama hapa mlishindwa kubridge the gap with only a few dollars mnadhani $30B ni rahisi. Ama mnadhani hizo billions ziko in Bungustan shillings? 😂😂😂😂😂
View attachment 2780689
Mmekuwa mkibridge gap since 2003 hio bado ni 7 years? 😂😂😂😂😂😂😂😂Ni just 7 years Wala sio miaka Mingi mtaanza kutusalimia Shikamoo 😆😆
Labda namba 1 Kwa slums,hunger na tribal conflicts 😂😂Ndio tukutane 2030 😂😂😂😂. Kwa sasa Kenya ndio nambari 1 💪💪💪💪
Soma hiyoo 👇Mmekuwa mkibridge gap since 2003 hio bado ni 7 years? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmekuwa na hizo resources tangu kitambo yet we still beat you with no minerals😂😂😂😂. In fact, you should be ashamed of yourselves. Our most valuable mineral is soda ash, hiyo ni chumvi in simple terms, yet we still beat you with all your mineras and so called resourcesWe have the capacity and resources ndio maana tuna miradi ambayo Kunyaland nzima hamtakuja kuwa nayo Hadi wanakuzika
Tukutane 2030 when you will be a worthy competitor 😂😂😂😂😂😂Labda namba 1 Kwa slums,hunger na tribal conflicts 😂😂
90% imetoka Source ipi? 😁😁😁😁Hii ni source kutoka Kenya National Bureau of Statistics. Even without Nairobi and all it's slums, Kenya still beats Bungustan with all their so called fast growth rate 😂😂😂😂
![]()
2023 Gross County Product (GCP) - Kenya National Bureau of Statistics
The 2023 Gross County Product (GCP) report seeks to update the size of counties’ economies building on the previous series contained in previous GCP publications. This knowledge is critical for counties to estimate their revenue potential, investment and assess economic progress over time. The...www.knbs.or.ke
View attachment 2780698
Tukutane 2030 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂90% imetoka Source ipi? 😁😁😁😁
Characteristics of Kenya Paper GDPTukutane 2030 when you will be a worthy competitor 😂😂😂😂😂😂
Sijakataa. Tukutane 2030Characteristics of Kenya Paper GDP
-Regular hunger
-Mass unemployment
-High cost of living demonstrated by numerous maandamano kutoka Kwa Raila
-High Tax rates/Tax burden(No say World bank inawapangai)
-Dollar shortage inategemea kutoka Tanzania
-Debt burden( mbioni kuwa buncrapty)
-Nabij Ruto kulalamika na kulia Lia Kila siku
-Tribal and political conflicts
-High crimes rate yaani hapa Alsgaabab wanajioigia wanavyotaka
Just to mention the few 😆😆😆😂😂😂😂😁😁😁🤪🤪🤪🤪
Sasa kama unajua you are starving na paper GDP haijakusaidia huoni unanichosha tuu na njaa zako?
Keep on Starving 😂😂Tukutane 2030 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kama unajua you are starving na paper GDP haijakusaidia huoni unanichosha tuu na njaa zako?
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1711731502608777442?t=JePOYebCwE-yEz-7hw3bXA&s=19