mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
TZ ni kawaida watu elfu 60 kuujaza mkapa stadium na baada ya match kila mtu ataenda kwake bila kusikia uhalifu wowote,hali kama ile ya kiusalama never aiwezi kutokea kunyalazy,wakora baada match watawapiga watu na kuwaibia watu,kunyan wizi upo kwenye damuAlafu eti AFCON fainali ichezwe kwao, si watarushia mashabiki mifuko yao ya mavi wanayokunya usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
At least living abroad might definitely help improve your ushamba low IQ…. Btw have you been promoted to a trainer yet at the CCM indoctrination camp?…🤣🤣🤣Mwai Sadima Dickson ulivyofala unadhani kuishi abroad ndiyo ujanja huku ukibeba mabox na trekta lako.
Wakati nyie mnarudia rudia picha kwa vitu vile vile on a daily basis, sisi tunazidi kuwaacha kwa kufanya mambo mapya na kujenga miji mipya kila inapoitwa leo
You can take a person out of a village, but you can't take the village out of a person, in that sense it doesn't really matter where we're at on this beautiful planet of ours, we all eat, shit and die!Hahaha…. Kwani wewe ni wale Wakikuyu wanaishi Bongo…. 😄😄..Lakini every Kenyan in this thread takes you seriously since you debate intelligently….that’s why I insist you are based somewhere abroad…
This Nairobi in 2 years to come, I wonder!!! Construction of high-rise buildings all over. Together with the affordable housing projects, 5 years time, Nairobi will be among the greatest cities in Africa
Acha fujo. Angalia hizi picha vizuri. Kisha fikiria Dar es Salaam, kama mtu anayeijua Dar es Salaam. Kisha vuta taswira.Wakati nyie mnarudia rudia picha kwa vitu vile vile on a daily basis, sisi tunazidi kuwaacha kwa kufanya mambo mapya na kujenga miji mipya kila inapoitwa leo
Wewe Mzee punguza ujinga kasome Law ya Smith.Mimi sijichanganyi ila huelewi mambo ya uchumi.Unajichanganya kifikra, mara wawekezaji ni wafanyabiashara, mara wanatusaidia. Dhumuni la kufanya biashara ni kupata faida, siyo kusaidia watu.
Kwenye Barabara tulizeni mshono mtuache kabisa hamtuwezi.Every village in Kenya is under transformation. Here is west Pokot
View attachment 2781385View attachment 2781387View attachment 2781388
Niache nadharia,kwani unazoita nadharia zikitoka wapi kama sio kuchunguza behavior ya kitu? Utafiti umethibitisha hilo. Ingekuwa ni nadharia wawekezaji wasingesaidia Tzn kuvuna 2.1 T Kwa mwezi kutoka rekodi ya 1.4T Kwa mwezi ambayo Mwendazake was struggling kuipata.Acha na mambo ya nadharia bana, hizo laws na theories wenzako tumezisoma mpaka zikatukimbia, tume dili nazo toka tukiwa watoto na tumezitumia professionally.
Hapa tunaongelea uwezo mdogo wa viongozi wetu kutojiamimi wao wenyewe kutengeneza opportunities, mpaka waombe msaada kutoka nje.
Wote tunakumbuka watu wenye mitazomo hiyo (mf Kikwete) walituaminisha kuwa hatuwezi kuendesha shirika letu la reli, hivyo tulitakiwa tuliuze kwa wahindi, matokeo yake Rites wakaliua shirika letu.
Wakaja watu waliojiamnini kuwa tunaweza, wakalifufua na kupitiliza kwa kuleta treni za umeme, mpaka na wewe unajidai. Sasa tunarudi kule kule kutokujiamini; hatuwezi kuendesha wenyewe, sisi masikini, waje wahindi watujengee hospitali. Wahindi siyo wajomba.
Bado haibadilishi rekodi ya kuwafunga miaka 12.Mnafosi tuwe sawa ila sisi kwenye soka hatupo sawa na nyinyi na wala hatushindani na nyinyi, tushatoka huko kushindana na vitimu vya region ya kipuuzi na isiyojua soka ya EA, level zetu ndio hizo unaziona Morocco, Congo, Nigeria et al sio nyie EA. Hata kwa ngazi ya vilabu level zetu mnazifahamu kwa sasa ni Al ahly, Mamelody et al.
Msifosi tufanane na sio kila kitu cha kushindana nendeni mkashindane kwenye mbio za mita 10,000 but not soccer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣