ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,519
Kampuni za Turkiye sio za kuzipa kazi tena,hao ndio wamechelewesha Sgr.
Nyingine hii hapa Toka wamepewa kazi ya kujenga Barabara km 32 mwaka unaisha Wameshindwa hata kufanya mobilisation licha ya kulipwa.
Iwe mwisho wa kuwapa kazi Hawa matapeli wa Uturuki
View: https://youtu.be/1Wdgh1Ga5jk?si=UsJ_CNiio41KgDXX