Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya naomba niwatakie usiku mwema 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
l-intro-1668566527.jpg
 
Tazama nguvu ya pesa waliyonayo watanzania kudadadeki, watu wameenda kuivamia Kigali kama kwao.

Hakuna nchi yoyote ile Africa hii ambapo mashabiki wake wana uwezo wa kwenda kuujaza uwanja wa nchi jirani kama kwao vile, hii ndiyo maana halisi ya uchumi mkubwa.
View attachment 2758425View attachment 2758427View attachment 2758428
Wakenya wanajaza mastadium las Vegas, Paris, London, Melbourne, Qatar, Vancouver for HRBC alafu wewe unajisifu na vitu maskini za bodaboda tupu za kiafrika hapa!!!
 
Tena uzembe wa hali ya juu, ila moja ilikuwa na shida mda kidogo, ndege mkubwa wa angani alipiga kioo cha mbele kwa pilot kikaweka ufa, ila ile nyingine ni maintenance ya kawaida.
sasa mbona iliyo iliyokuwa na shida isitengenezwe? Yaani wanasubiri mpaka wa-paralyse operations. Nafikiri Matindi anapaswa kujipima!
 
Ati Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣 skia sasa uongo. Sehemu yenu ni beach pekee, na hapo ndipo mkoa wa Mbeya unaishia. The whole lake is in Malawi nyinyi mna beach tu! You even have disputes with Malawi since they don't allow you to have even a piece of the lake

Tazama nguvu ya pesa waliyonayo watanzania kudadadeki, watu wameenda kuivamia Kigali kama kwao.

Hakuna nchi yoyote ile Africa hii ambapo mashabiki wake wana uwezo wa kwenda kuujaza uwanja wa nchi jirani kama kwao vile, hii ndiyo maana halisi ya uchumi mkubwa.
View attachment 2758425View attachment 2758427View attachment 2758428
Hiyo inaitwa disposable income. Ukanda huu Tanzania ndio iko juu.
 
Nadhan kuna mtu humu alikuwa anawasifia MD Maharage na Obama wa Bongo kuletwa TANESCO na bodi yao imejaa wafanyabiashara, eti wale wa sector binafsi wataleta mageuz Tanesco😆😂.. mim nikasema hawana vitu, mda si mrefu watatolewa.. sasa wote wameliwa vichwa..
Huyo mtu sijui atakuwa ana maoni gan saiz?

Asante sana Biteko kwa kuwaondoa hao wapuuzi, nasubur bodi mpya
 
Nadhan kuna mtu humu alikuwa anawasifia MD Maharage na Obama wa Bongo kuletwa TANESCO na bodi yao imejaa wafanyabiashara, eti wale no sector binafsi wataleta mageuz Tanesco😆😂.. mim nikasema hawana vitu, mda si mrefu watatolewa.. sasa wote wameliwa vichwa..
Huyo mtu sijui atakuwa ana maoni gan saoz?

Asante sana Biteko kwa kuwaondoa hao wapuuzi, nasubur bodi mpya
Lakini mbona mtu aitwe Maharage?
 
Back
Top Bottom