Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakali wa hizi kazi, Azam complex, uwanja unaotumiwa na timu zote kutoka nchi maskini EA kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.
sddefault.jpg


Na huu ndio uwanja mkubwa zaidi East and central Africa, Mkapa stadium.
Screenshot_20230922-140553~2.png
 
Hii miradi ni ya kawaida sana TZ,ila kundustan ndio miradi yao kutuvimbia humu,wangekua na mradi kama waJulius nyerere hydropower station tungekoma humu
Hawa tunavyowachekea chekea humu kuwaliwaza kutokana na shida na umaskini walio nao basi wanadhani sisi ni saizi yao, au wanavyoona vi figure vya GDP za mchongo wanazoziandaa vyumbani mwao basi wanafikiri wapo sawa na sisi. Dawa yao ni kuwaonesha uhalisia maamaee zao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom