Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi 10 za Afrika zenye Jeshi la Polisi dhaifu zaidi;

1. Madagascar
2. Zambia
3. Ethiopia
4. Sierra Leone
5. Cameroon
6. Msumbiji
7. Uganda
8. Kenya
9. Jamhuri ya Afrika ya Kati
10. Nigeria Swahili Times on Twitter
Ethiopia na Nigeria have the numbers and would walk on any African country at will. Kenyan military got a bigger budget than you guys and experience
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na wewe kumbe umo! Nilijua fisi hapo kenya ni 1academ peke yake kumbe mpo wengi
ukiona vyalea....ama vipi? team mafisi tupo wengi..kwanza nyie ndo mpo karibu na nyama pale ila naona mnalegea legea bana...hio ningepita nayo asubuhi na mapema...fisi lazma ale nyama ashibe...
 
hahaha......Ruto si anaweza kuwa dictator kama Magufuli....jamaa hatari.Though I might vote for Kalonzo I don't mind Ruto
That guy steals bila aibu, we should be past that. Kalonzo is OKay. Lakini mimi naona Aukot if he will be popular atapata my vote
 
.
Hongera sana kwa kuja na idea hii ya thread. Pia bila kuwasahau kadoda11, NDINDA, MOTOCHINI, Iconoclastes, tuusan, game over, ichichoboy01 na Jay456watt hawa wote wamekuwepo toka mwanzo na wamesaidia sana kuifikisha hii thread hapa ilipo, sisi wengine tumeidandia tuu.
nakumbuka thread hii ilianzishwa mwezi january 2017.binafsi nilijikita zaidi katika kuleta screenshot toka twitter maarufu kama screenshot za matope ya nairobi.

niliangazia katika ku-expose uchafu wa jiji la nairobi hasa pale inaponyesha mvua na shida ambazo wakaazi wake hukumbana nazo kutokana na matope ya jiji hilo(BTW nairobi ina matope sana).

hii ilisaidia sana kuwa neutralize wakenya since thread ilikuwa on fire ile mbaya.

kwa kufanya hivyo,nilichukuwa karibia na wakenya wote wa jf.i was their number one enemy...[emoji23]
 
Nimeskia pia habari za chini ya carpet ni kuwa Wakikuyu wanapanga kumpiga chini Ruto 2022 na kusimamisha mtu mwingine.
Mwisho wa jubilee ndo huu, 2020 kunakuwa na coalition nyingine, hawakikuyu hawapendaji jokes[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Ruto ajipange
 
nakumbuka thread hii ilianzishwa mwezi january 2017.binafsi nilijikita zaidi katika kuleta screenshot toka twitter maarufu kama screenshot za matope ya nairobi.

niliangazia katika ku-expose uchafu wa jiji la nairobi hasa pale inaponyesha mvua na shida ambazo wakaazi wake hukumbana nazo kutokana na matope ya jiji hilo(BTW nairobi ina matope sana).

hii ilisaidia sana kuwa neutralize wakenya since thread ilikuwa on fire ile mbaya.

kwa kufanya hivyo,nilichukuwa karibia na wakenya wote wa jf.i was their number one enemy...[emoji23]

Umesababisha watu wanaogopa kuweka sahivi zile picha za low class za Tanzania kwasababu ya ile secret weapon yako ambayo ukiileta wote wanakimbia.😀😀😀
 
tujikumbushe kidogo comment za mwanzo.

kero ya matope ya nairobi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
7c1c158a41c5e9d65f3253b2537353fa.jpg
d77ce02c1be86d814c67b401c2fa7792.jpg
02d846ff8752c2fee54a2c15b189d258.jpg
 
tujikumbushe kidogo tuliko anzia.
kuna wakenya wanalalamika ati kwanini siweki picha za dar badala yake naweka picha/screenshots za nairobi zinazo zungumzia mabaya tu ya jiji hilo.

jibu ni kwamba kwetu sisi kila mtu ana task yake.toka siku za kwanza za thread hii,tuliamua kuwepo hapa kimkakati.

hatukurupuki,tumejipanga na ndio maana mnaona kila mtu ameachiwa atawale eneo lake analolimudu ili "kuwanyorosha" wapinzani wetu katika kiwango cha juu.


moja kati ya task yangu ni kuweka screenshots zozote zinazo zungumzia ubovu wa jiji la nairobi kwasababu nalifahamu vizuri jiji hilo.

baada ya kufanikiwa vizuri sana ktk kuweka "screenshots za matope" mpaka kupelekea mkanganyiko kwa wapinzani wetu,sasa naangazia suala uhalifu na matukio yanayohatarisha usalama wa raia na mali zake.

kwa nairobi matukio ya kihalifu ni mengi mno na yanatisha kuzidi uhalifu wa dar es salaam.hii inachochewa na umasikini wa kipato miongoni mwa vijana wengi ambao ni ma-jobless pia inachochewa kwa kuwepo pengo kubwa kati matajiri na masikini.Kenya masikini ni masikini totally kuanzia yeye mpaka uzao wake wote atakao zaa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
357d77b9ce5f4a2953b378b4906d0725.jpg
 
tujikumbushe kidogo comment za mwanzo.
hahaha......not all estates have paved roads in Nairobi especially zile upcoming ones za eastlando.MCA wakipewa pesa ya kujenga barabara wanafungua nazo kampuni zao za binafsi....kama wetu wa ushago alinunua tippers nne na kufungua petrol station
 
Back
Top Bottom