Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.
Ni hivi; neno 'koko' kwa kiswahili chetu ni kitu cha uvuguvugu (hakieleweki kipo upande gani), mfano 'mbwa koko' ni mbwa mpole asiyebweka au yule ambaye hawezi kung'ata. Sasa 'wazungu koko' ni wale waafrika ambao wanajifanya wazungu kwa kuibia ibia vitabia viwili vitatu vya kizungu lakini siyo wazungu halisi.

.
Namanga ni mpaka wa Tanzania na kenya kwahiyo ukivuka to boda ya namanga kuja Tanzania, uzungu unauachia hapo hapo.

.
Haya maneno ni ya kiutamaduni na kihistoria zaidi. Miaka ya nyuma hapo Dar, kulikuwa na misemo kama;

"unashanga shangaa nini, kashangae feri meli kuzama, shilingi kuelea".

Mshangao huu ulitokana na kuona meli ambayo ni kubwa na nzito, kuelea, wakati shilingi (coin) kuzama (law of floatation).

Watu wengi wanaotembelea maeneo ya baharini (feri) kupunga upepo, huonekana kana kwamba wemekumbwa na bumbuwazi (being stunned) kwa jinsi bahari ilivyo kubwa. So goes "unashanga shangaa nini".

Neno feri limetokana na neno 'ferry' yaani kivuko. kihistoria, wakazi wa Dar ili kwenda ng'ambo ya pili ya Dar (kigamboni) ilibidi watumie, 'a ferry' kuvuka. Waswahili tukapaita pale kwenye kivuko, kivukoni au feri. Utamaduni huu wa kubatiza maneno ya kiingereza upo sehemu nyingi mfano carrier corp (kariakoo) na Michael chain (mikocheni) n.k.

015023a136a0f715320176d9de0401b7.jpg

Kwahiyo nilitumia hayo maneno kwasababu hao wakinamama kwenye picha walikuwa wanatoka feri kununua samaki huku wakibeba ndoo za samaki kichwani (utamaduni huo).

.
Unaweza kufikiri hawa wamama hawajastaarabika lakini wanajua ku-apply physics kuliko unavyodhani.

Hizo ndoo unazoziona zimekuwa balanced vizuri kabisa, wenyewe tunasema "all forces are concurrent". Yaani hapo ndoo imeganda kichwani vizuri kabisa ikiwa imekaa kwenye khanga (as a damping mechanism) with 'resultant force' approaching to zero. Any excessive force acted at any angle will be corrected by the 'superior brain cells' of these women.

Concept hiyo hiyo ya ku balance ndoo ndiyo inayotumika kuunda 'suspension bridge' (kama Golden gate bridge ya San Fransisco) au ku fly an airplane.
Nime ipenda hii
 
Cheating yourselves that your poverty index is at 20's .....that's where Spain Russia fall....hahaha.I have travelled in some parts of northern Tanzania and saw unrivalled poverty................I can just tell it's at 85% plus
 
.
Hawa si watu wa kuwachekea japo kuwa ni jirani zetu ila pia wapo ambao ni wazuri lakini ki ujumla inabidi ukae nao kimachale machale.

.
Kila mkenya niliyekutana naye huwa anakuja na hizo swagger zao za watanzania hawajasoma, sijui wako lazy au Kenya is so developed. Lakini baada ya kuongea nao kidogo wanakuwa kama wamepigwa na radi vile, yaani mpaka wanatia huruma. Ni kama vile umewaondoa kwenye reality fulani hivi na hawajui wafanyeje.

kuna kitu viongozi wao wanawadanganya wakiwa wadogo kwasababu haiwezekani kila mkenya awe hivyo. We ona hata hapa, akija member mpya utaona zile stereotype zao lakini akikaa kwa muda utaona anabadilika.
Ni kweli kiongozi wakenya wangekuwa watu wazuri sana kama wasingekuwa na madharau kwa watanzania hata mimi hili nimekuja kuliona sana kwenye hii bursting of social media awali miaka ya nyuma nilikua nawaona wakenya watu Poa tu.

Ila ukikutana na habari yoyote huko kwenye social media inayozihusu Kenya na Tanzania unaweza kushangaa sababu kila comment ya mkenya ni kuonesha dharau kwa watanzania oh hamjasoma, oh wavivu, oh masikini, oh hamjui English

Hii tabia nilijua ni ya hapa jf kumbe looh ebwana eeh kumbe ni ya kila mkenya utadhani kwenye syllabus yao walipitia subtopics za hizi tabia kwa watanzania they are all branded with, lakini watanzania sisi wengi wetu tulizoea kuwachukulia kama ndugu zetu ila yenyewe ni manyang'au yakutupwa
 
......Mbona huwa mnatuonea sana Tanzanians hahaha...mkiona mkenya ni kama mmeona nyoka mwenye sumu.It's just that we are brought up to believe in ourselves so much and get whatever we want by all means.So on behalf of fellow Kenyans we apologize for that.Mtajua hamjui my frens........mnatuchezea rough coz Uhuru Kenyatta ni mpole na mwenye huruma.....2022 kuna probably William Koitalel Arap Samoei Ruto.....mtapata majibu mnatafuta kwa kuchokoza Kenya kila mara
mbona majina ya wanaotarajiwa kutawala kenya baada uhuru kenyatta ni yaleyale tu kutoka makabila yaleyale?.

ina maana katika nchi yenye makabila takribani 40,wenye uwezo au vipawa vya kuongoza nchi ni kikuyu na kakenjin tu?.smh
 
I just like William Ruto's charisma....nowadays governors are the real deal.
 
Naona kama Mada hii imezidi kuongeza Chuki zaidi
hapana,sasa hivi tumezoeana baada ya kuwafundisha wakenya namna nzuri ya ku-argue kistaarabu bila kuingiza chuki wala ukabila.

watanzania tuna aina yetu ya kujadiliana,tukiona hali ya hewa imechafuka tunaingiza utani na kupoza mambo hatimaye hata mwenye jazba hutulia.

wenzetu hawakuzoea hivo, kwenye platform zao hupelekeshana kweli kweli hata kutishiana maisha pale wanaposhindwa kukubaliana.

kupitia thread hii,wakenya wamejifunza mengi toka kwetu hasa ustaarabu wa kufanya mijadala bila chuki.
 
I just like William Ruto's charisma....nowadays governors are the real deal.
si useme tu kwamba wewe ni mkikuyu/mkalenjin.

BTW nilisikia kwamba there is a secret MOU between the two tribes that after uhuru,the next president "must be chosen" from kalenjin...probably ruto.
 
hapana,sasa hivi tumezoeana baada ya kuwafundisha wakenya namna nzuri ya ku-argue kistaarabu bila kuingiza chuki wala ukabila.

watanzania tuna aina yetu ya kujadiliana,tukiona hali ya hewa imechafuka tunaingiza utani na kupoza mambo hatimaye hata mwenye jazba hutulia.

wenzetu hawakuzoea hivo, kwenye platform zao hupelekeshana kweli kweli hata kutishiana maisha pale wanaposhindwa kukubaliana.

kupitia thread hii,wakenya wamejifunza mengi toka kwetu hasa ustaarabu wa kufanya mijadala bila chuki.
true.
 
what I must admit about Tanzanians is that they are amazingly proud of their country amidst the extreme poverty in their midst.Atakuambia "naitwa samueri na najivunia nchi yangu Tanzania ingawa anaishi nyumbani pa nyasi.atakukaribisha kwake na lile alichonacho huku watoto wake wamevalishwa sweta za rangi ya bendera ya Tanzania......I applaud nyerere for giving a sense of nationalism to Tanzanians.I think on that one we can emulate as Kenyans
 
.
Hawa si watu wa kuwachekea japo kuwa ni jirani zetu ila pia wapo ambao ni wazuri lakini ki ujumla inabidi ukae nao kimachale machale.

.
Kila mkenya niliyekutana naye huwa anakuja na hizo swagger zao za watanzania hawajasoma, sijui wako lazy au Kenya is so developed. Lakini baada ya kuongea nao kidogo wanakuwa kama wamepigwa na radi vile, yaani mpaka wanatia huruma. Ni kama vile umewaondoa kwenye reality fulani hivi na hawajui wafanyeje.

kuna kitu viongozi wao wanawadanganya wakiwa wadogo kwasababu haiwezekani kila mkenya awe hivyo. We ona hata hapa, akija member mpya utaona zile stereotype zao lakini akikaa kwa muda utaona anabadilika.
Umenena sahihi mkuu! Kuna binti wa kikenya tulikutana nikawamwuliza jinsi anavyotuchukulia watz,nakasema tuko lazy na hatuna pesa! Nkamwomba ushahidi yeye akaishia kusema huwa wanaambiwa hivyo!

Nilicheka sana.
 
watz wameandika macompo (insha) hapa joo...tulieni wajamaa leo sunday shikeni vinywaji baridi sijui Dar kuna baridi kama huku au la... tuusan yupo wapi December nataka nije kwako ndg..especially hii baridi ikizidi...
December utakuwa umefunga chuo au utatoroka masomo
 
si useme tu kwamba wewe ni mkikuyu/mkalenjin.

BTW nilisikia kwamba there is a secret MOU between the two tribes that after uhuru,the next president "must be chosen" from kalenjin...probably ruto.
Truth be told .....kalenjin is just a blanket name given to the highland nilotes though it has close to nine tribes in it
 
Mbona unatia Aibu ya kufananisha Kenya na marekani bora unyamaze tu na vilevile hatuwategemei kwa chochote tena nyie ndio mnafanya Tanzania ni Shamba la bibi
 
what I must admit about Tanzanians is that they are amazingly proud of their country amidst the extreme poverty in their midst.Atakuambia "naitwa samueri na najivunia nchi yangu Tanzania ingawa anaishi nyumbani pa nyasi.atakukaribisha kwake na lile alichonacho huku watoto wake wamevalishwa sweta za rangi ya bendera ya Tanzania......I applaud nyerere for giving a sense of nationalism to Tanzanians.I think on that one we can emulate as Kenyans
nitaandika utani kama ukivyoandija wewe.

on a serious not,ninachowapendea wakenya ni ile hali yao kupenda sana kuiga uzungu.

yaani ukifika jiji la nairobi katika mitaa ya kenyatta/moi avenue au maarufu kama nairobi CBD utaelewa hili ninalolizungumza.

utakuta wakenya hasa watu wa makamo wamevalia makoti ya suti za mitumba na suruali za vitambaa huku viatu vya ngozi viking'a,wanatembea kwa haraka kweli kweli wengine hata wasijue kilichowapeleka CBD...hii yote ni katika kuiga uzungu ili nao waonekane wazungu.

vijana wa nairobi licha ya kwamba nao wana vijitabia kama vya wazazi wao,wamejikita zaidi kuiga tamaduni za wajamaica na wamerekani weusi....siku za weekend utawakuta mitaa ya CBD
wamesokota nywele(dreadlocks),kutoboa masikio,vipini puani na kuvaa ma-jumpers jacket huku wakijaribu kuiga maisha ya mwanamziki mtukutu wa jamaica vybz kartel.
 
Back
Top Bottom