nitaandika utani kama ukivyoandija wewe.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
on a serious not,ninachowapendea wakenya ni ile hali yao kupenda sana kuiga uzungu.
yaani ukifika jiji la nairobi katika mitaa ya kenyatta/moi avenue au maarufu kama nairobi CBD utaelewa hili ninalolizungumza.
utakuta wakenya hasa watu wa makamo wamevalia makoti ya suti za mitumba na suruali za vitambaa huku viatu vya ngozi viking'a,wanatembea kwa haraka kweli kweli wengine hata wasijue kilichowapeleka CBD...hii yote ni katika kuiga uzungu ili nao waonekane wazungu.
vijana wa nairobi licha ya kwamba nao wana vijitabia kama vya wazazi wao,wamejikita zaidi kuiga tamaduni za wajamaica na wamerekani weusi....siku za weekend utawakuta mitaa ya CBD
wamesokota nywele(dreadlocks),kutoboa masikio,vipini puani na kuvaa ma-jumpers jacket huku wakijaribu kuiga maisha ya mwanamziki mtukutu wa jamaica vybz kartel.[emoji23]