Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kaka hongera sana....ila nakuonea huruma kwa vile ulivyotumia juhudi,maarifa na akili kubwa kuwafafanulia madini kama haya watu ambao dhahiri shairi ni "zero brain".

Mi nakuelewa sana bro, huwa nakusoma vizuri na kweli unawajua hawa jamaa na hata utamaduni wao unaufahamu kuliko wengi wetu hapa. Lakini wakati mwingine inabidi uwafundishe ili kuweka mambo sawa, kesho mtu ajifikirie mara mbili mbili kabla ya kuja kubandika upupu wake.
 
.
Hawa si watu wakuwachekea japokuwa ni jirani zetu ila pia wapo ambao ni wazuri lakini ki ujumla inabidi ukae nao kimachale machale.

.
Kila mkenya niliyekutana naye huwa anakuja na hizo swagger zao za watanzania hawajasoma, sijui wako lazy au Kenya is so developed. Lakini baada ya kuongea nao kidogo wanakuwa kama wamepigwa na radi vile, yaani mpaka wanatia huruma. Ni kama vile umewaondoa kwenye reality fulani hivi na hawajui wafanyeje.

kuna kitu viongozi wao wanawadanganya wakiwa wadogo kwasababu haiwezekani kila mkenya awe hivyo. We ona hata hapa, akija member mpya utaona zile stereotype zao lakini akikaa kwa muda utaona anabadilika.
umegusia jambo muhimu sana....mentality ya wakenya wengi ni kwamba watz hawajasoma,hawana confidence na wavivu.wameaminishwa hiyo kitu na mfumo wao wa elimu.

elimu yao inawaamisha kwamba ukijua kujieleza kwa kingereza mbele ya mtz,basi ni rahisi kum-control.

pia elimu yao inawaaminisha kwamba kingereza ndio kila kitu kuliko maarifa.wakenya wengi wamejificha kwenye kichaka cha kingereza na sio maarifa.

hii ndio sababu iliyopelekea baadhi ya waajiri nchini miaka iliyopita,kuajiri wakenya katika baadhi ya idara kwa kudhani kwamba wana uweledi mzuri kisa tu wanazungumza kingereza.

nashukuru waajiri wengi waliaamua kuachana na wakenya baada ya kuona ubabaishaji wao makazini.
 
TREAD IMEFIKISHA 1,000,000 VIEWS.
Natumaini watu wengi wamejifunza kupitia thread hii. Wakenya wamekuwa na heshima kubwa dhidi ya watanzania.
Wakenya nawataka mtuvumilie tu maana hatutaacha kuwasema. Tutawasema saaaaana mpaka mje kupiga magoti na kutubu.
Sasa tunaanza kivingine sasa kuhusu huu uzi.
 
kwa sasa uzi umerahisisha sana namna ya ku-argue na wakenya.

siku hizi hatutumii nguvu kuwaelimisha.wamejifunza na wanaendelea kujifunza mengi kupitia uzi huu tofauti na walivyofundishwa katika shule zao au walivyo fundishwa na wazazi wao kuhusu watz.

kiwango cha kuheshimiana kimeongezeka.madharau hakuna tena.

NB:
katika historia ya kuanzishwa mtandao wa jamiiforum, inawezekana kabisa hii ndio ikawa thread ya kwanza kuwa na namba kubwa ya views kuliko thread zote zilizowahi kuanzishwa katika section ya kenyaforum.
 
watz wameandika macompo (insha) hapa joo...tulieni wajamaa leo sunday shikeni vinywaji baridi sijui Dar kuna baridi kama huku au la... tuusan yupo wapi December nataka nije kwako ndg..especially hii baridi ikizidi...
 
jay aka kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
 
TREAD IMEFIKISHA 1,000,000 VIEWS.
Natumaini watu wengi wamejifunza kupitia thread hii. Wakenya wamekuwa na heshima kubwa dhidi ya watanzania.
Wakenya nawataka mtuvumilie tu maana hatutaacha kuwasema. Tutawasema saaaaana mpaka mje kupiga magoti na kutubu.
Sasa tunaanza kivingine sasa kuhusu huu uzi.
heshima ndio
magoti la hasha
 
jay aka kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Alhamdulilahi vipi mseng.e?
emoji23.png
emoji23.png
nashukuru kwa makaribisho mazuri...naona thread imehitimu views 1,000,000...
emoji122.png
emoji122.png
 
watz wameandika macompo (insha) hapa joo...tulieni wajamaa leo sunday shikeni vinywaji baridi sijui Dar kuna baridi kama huku au la... tuusan yupo wapi December nataka nije kwako ndg..especially hii baridi ikizidi...
Dar kipindi hiki ni joto na vnywaji baridi vinapatikana kwa wingi ni wewe tu.
Lakini nakushauri kitu kimoja, huku kwetu mwanaume kuomba kwenda kwa mwanaume mwenzake kwa sababu ya baridi ni tatizo kubwa sana. Wanawake ndio huomba kwenda kwa mwanaume kwa sababu ya baridi.
Hope umenielewa. Labda uwe unafanya biashara za Mombasa ambazo kwetu buki haziruhusiwi utakamatwa na vijana wa Makonda.
 
umegusia jambo muhimu sana....mentality ya wakenya wengi ni kwamba watz hawajasoma,hawana confidence na wavivu.wameaminishwa hiyo kitu na mfumo wao wa elimu.

elimu yao inawaamisha kwamba ukijua kujieleza kwa kingereza mbele ya mtz,basi ni rahisi kum-control.

pia elimu yao inawaaminisha kwamba kingereza ndio kila kitu kuliko maarifa.wakenya wengi wamejificha kwenye kichaka cha kingereza na sio maarifa.

hii ndio sababu iliyopelekea baadhi ya waajiri nchini miaka iliyopita,kuajiri wakenya katika baadhi ya idara kwa kudhani kwamba wana uweledi mzuri kisa tu wanazungumza kingereza.

nashukuru waajiri wengi waliaamua kuachana na wakenya baada ya kuona ubabaishaji wao makazini.
.
Mitaala ya elimu yao imelipulia sana, we kumbuka shule ya msingi darasa la tano tuu, Tanzania kwenye jiografia tunasoma bara la afrika (ukulima wa ndizi - visiwa vya canary, chai - malawi). Darasa la sita tunasoma jiografia ya Dunia (ukulima wa mpira - Malaya, mpunga - Burma, mahindi - Marekani, Chai - Sri lanka). Darasa la saba tunashushiwa nondo za Afrika mashariki, mfano ukulima wa chai kericho n.k.

Sasa utaona mtu akimaliza la saba tuu teyari anakuwa na maarifa mazuri tuu kuhusu dunia. Sasa wenzetu sijui kama hata wanajifunza chochote kuhusu Tanzania. Ndo ukija kwenye majadiliano kama haya unakuta mkenya mweupe mpa unashangaa.

Mimi wakati nipo A-level mwalimu wangu wa hisabati ambaye alifundisha India, Uingereza, Kenya na Tanzania aliwahi kutuambia kuwa, katika miaka yote aliyofundisha (over 40years) alishangaa kukuta Tanzania kuna syllabus nzuri kuliko kote huko, yaani ina kila kitu na kupitiliza.
 
......Mbona huwa mnatuonea sana Tanzanians hahaha...mkiona mkenya ni kama mmeona nyoka mwenye sumu.It's just that we are brought up to believe in ourselves so much and get whatever we want by all means.So on behalf of fellow Kenyans we apologize for that.Mtajua hamjui my frens........mnatuchezea rough coz Uhuru Kenyatta ni mpole na mwenye huruma.....2022 kuna probably William Koitalel Arap Samoei Ruto.....mtapata majibu mnatafuta kwa kuchokoza Kenya kila mara
 
TREAD IMEFIKISHA 1,000,000 VIEWS.
Natumaini watu wengi wamejifunza kupitia thread hii. Wakenya wamekuwa na heshima kubwa dhidi ya watanzania.
Wakenya nawataka mtuvumilie tu maana hatutaacha kuwasema. Tutawasema saaaaana mpaka mje kupiga magoti na kutubu.
Sasa tunaanza kivingine sasa kuhusu huu uzi.
Naona kama Mada hii imezidi kuongeza Chuki zaidi
 
TREAD IMEFIKISHA 1,000,000 VIEWS.

Natumaini watu wengi wamejifunza kupitia thread hii. Wakenya wamekuwa na heshima kubwa dhidi ya watanzania.

Wakenya nawataka mtuvumilie tu maana hatutaacha kuwasema. Tutawasema saaaaana mpaka mje kupiga magoti na kutubu.

Sasa tunaanza kivingine sasa kuhusu huu uzi.
.
Hongera sana kwa kuja na idea hii ya thread. Pia bila kuwasahau kadoda11, NDINDA, MOTOCHINI, Iconoclastes, tuusan, game over, ichichoboy01 na Jay456watt hawa wote wamekuwepo toka mwanzo na wamesaidia sana kuifikisha hii thread hapa ilipo, sisi wengine tumeidandia tuu.
 
......Mbona huwa mnatuonea sana Tanzanians hahaha...mkiona mkenya ni kama mmeona nyoka mwenye sumu.It's just that we are brought up to believe in ourselves so much and get whatever we want by all means.So on behalf of fellow Kenyans we apologize for that.Mtajua hamjui my frens........mnatuchezea rough coz Uhuru Kenyatta ni mpole na mwenye huruma.....2022 kuna probably William Koitalel Arap Samoei Ruto.....mtapata majibu mnatafuta kwa kuchokoza Kenya kila mara
Kenya's problems like Extreme Hunger, Poverty (at 44%), insecurity and Disunity make you weaker, a reason M7 deployed soldiers to Migingo and meanwhile Pokots up North have their own army within the country, plus Alshabaab wanavinjari hapo nairobi na kufanya watakavyo,
, tena naskia mnataka kugawana nchi, tunavizia hapo tunyakue walau counties mbili au tatu kiulaini kabisa,
Hamna La kutufanya nyie, ni weupe kabisa.
Acha tuendelee kuwanyoosha.
 
watz wameandika macompo (insha) hapa joo...tulieni wajamaa leo sunday shikeni vinywaji baridi sijui Dar kuna baridi kama huku au la... tuusan yupo wapi December nataka nije kwako ndg..especially hii baridi ikizidi...
Dar Ni joto sahivi sio mchezo ..

A.c. Ni kama hazifanyi kazi aki. ..

Karibu kijana. ...
 
Kenya's problems like Extreme Hunger, Poverty (at 44%), insecurity and Disunity make you weaker, a reason M7 deployed soldiers to Migingo and meanwhile Pokots up North have their own army within the country, plus Alshabaab wanavinjari hapo nairobi na kufanya watakavyo,
, tena naskia mnataka kugawana nchi, tunavizia hapo tunyakue walau counties mbili au tatu kiulaini kabisa,
Hamna La kutufanya nyie, ni weupe kabisa.
Acha tuendelee kuwanyoosha.
We all know your poverty level is at 87%.....that's where least developed countries fall under.
 
North Korea pia inachokoza USA vile Tanzania inafanyia Kenya.......jibu zenu mtapata tu
 
Back
Top Bottom