Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii model ni better kuliko ile ya kwanza..gava ingepea hii company boost, in the next ten years, watakua wakiunda mpaka super cars
1627469.jpg
mobius5.jpg
mobius.jpg
3.jpg
 
Wewe ndio nilikuwa nakutafuta, ulisema mchanga wa pwani dsm unapausha roads.
Looks like mchanga wa Nairobi nao unapausha barabara pia.

Barabara za nairobi,kampala,kigali huko kwote hazijaparara kama za mombasa na Dar

Za pwani zimeparariwa na sand soil ya pwani, za Kampala tena ndio usiseme na Nairobi, Moshi. Zimeparariwa na clay soil.
Arusha, mwanza, Kisumu can be different maybe.

Lakini za Nairobi zina udongo mwekundu.
nilishawahi kulizungumzia hili siku za nyuma hapa hapa kwenye uzi huu kwa kuleta screenshot maarufu kama "screenshot za matope ya nairobi"

ni kwamba udongo wa ardhi ya nairobi ni mwekundu wenye asili ya ufinyanzi unaopelekea uwepo wa matope mengi.

kipindi cha msimu wa masika,nairobi huwa na matope mengi sana,hali inayopelekea kuharibu taswira ya mji na kuleta usumbufu kwa wakaazi wake.

twitter na facebook kuna mamia ya tweets/post za wakenya zikilalamikia matope ya nairobi.

mfano huu hapa.
bbff351cc6cbdd846c94f71a71c458da.jpg
 
Hii picha inakaa ya masai mara, who wears boots.. Whuch are matching in nairobi....
 
Hii picha inakaa ya masai mara, who wears boots.. Whuch are matching in nairobi....
huamini kwamba hapo ni nairobi?...nitaliamsha dude kwa "screenshot za matope ya nairobi".[emoji23]
 
kero ya matope ya nairobi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
7c1c158a41c5e9d65f3253b2537353fa.jpg
d77ce02c1be86d814c67b401c2fa7792.jpg
02d846ff8752c2fee54a2c15b189d258.jpg
 
Back
Top Bottom