Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is waht a mall looks like guys
mall.jpg

U guys have only the CBD pekee...that's a fact I came to install sage in kariokor last year and its only the CBD that u can talk about but nai has 3 cbds....malls good infrastructure suburbs national park etc Nairobi is still way ahead you'll take ages to catch up...a city is not only the cbd
And Dar CBD alone equal to cbds of Nai+Msa+Nakuru + Kusumu Combined.
 
hi dear friends, comrades and enemies.

i'm continuing to keep you posted with screenshots covering different types of robbery and insecurity matters happening every day and every hour in nairobi.

nairobi jiji la wahalifu.

b391f17c25114adbdbe2bd0da43de846.jpg
 
kuna wakenya wanalalamika ati kwanini siweki picha za dar badala yake naweka picha/screenshots za nairobi zinazo zungumzia mabaya tu ya jiji hilo.

jibu ni kwamba kwetu sisi kila mtu ana task yake.toka siku za kwanza za thread hii,tuliamua kuwepo hapa kimkakati.

hatukurupuki,tumejipanga na ndio maana mnaona kila mtu ameachiwa atawale eneo lake analolimudu ili "kuwanyorosha" wapinzani wetu katika kiwango cha juu.

moja kati ya task yangu ni kuweka screenshots zozote zinazo zungumzia ubovu wa jiji la nairobi kwasababu nalifahamu vizuri jiji hilo.

baada ya kufanikiwa vizuri sana ktk kuweka "screenshots za matope" mpaka kupelekea mkanganyiko kwa wapinzani wetu,sasa naangazia suala uhalifu na matukio yanayohatarisha usalama wa raia na mali zake.

kwa nairobi matukio ya kihalifu ni mengi mno na yanatisha kuzidi uhalifu wa dar es salaam.hii inachochewa na umasikini wa kipato miongoni mwa vijana wengi ambao ni ma-jobless pia inachochewa kwa kuwepo pengo kubwa kati matajiri na masikini.Kenya masikini ni masikini totally kuanzia yeye mpaka uzao wake wote atakao zaa.

357d77b9ce5f4a2953b378b4906d0725.jpg
 
kuna wakenya wanalalamika ati kwanini siweki picha za dar badala yake naweka picha/screenshots za nairobi zinazo zungumzia mabaya tu ya jiji hilo.

jibu ni kwamba kwetu sisi kila mtu ana task yake.toka siku za kwanza za thread hii,tuliamua kuwepo hapa kimkakati.

hatukurupuki,tumejipanga na ndio maana mnaona kila mtu ameachiwa atawale eneo lake analolimudu ili "kuwanyorosha" wapinzani wetu katika kiwango cha juu.

moja kati ya task yangu ni kuweka screenshots zozote zinazo zungumzia ubovu wa jiji la nairobi kwasababu nalifahamu vizuri jiji hilo.

baada ya kufanikiwa vizuri sana ktk kuweka "screenshots za matope" mpaka kupelekea mkanganyiko kwa wapinzani wetu,sasa naangazia suala uhalifu na matukio yanayohatarisha usalama wa raia na mali zake.

kwa nairobi matukio ya kihalifu ni mengi mno na yanatisha kuzidi uhalifu wa dar es salaam.hii inachochewa na umasikini wa kipato miongoni mwa vijana wengi ambao ni.ma-jobless pia inachochewa kwa kuwepo pengo kubwa kati matajiri na masikini.Kenya masikini ni masikini totally kuanzia yeye mpaka uzao wake wote atakao zaa.

357d77b9ce5f4a2953b378b4906d0725.jpg
Endelea kupost ata picha za westgate uzilete
 
Back
Top Bottom