Moja ya marais wa hovyo. Ni mtu aliyetuletea matatizo makubwa sana nchini.
1. Alitunyima rais bora sana 2005, Dr Salim Ahmed Salim na kundi lake la wahuni la mtandao.
2. Kundi lake la mtandao lilijihusisha na ufisadi mkubwa kama: TICTS bandarini, EPA, ESCROW, RIchmond.
3. Samia ni janga lingine la Kikwete Tanzania, kwakua alikuwa sio chaguo la Magufuli, magufuli alichagua Dr Hussein Myinyi, Kikwete alipeleka jina la Samia kwa magufuli, akaenda nayo mawili kamati kuu na kuingia na ajenda ya gender kumchomeka Samia kama kibaraka wake kwenye serikali ya Magufuli na ndio alikuwa akitoa siri za serikali.
4. Bila kusahaui kundi lake ndio linaongoza chama na serikali: Chongolo, Makamba both mdogo na mkubwa, Kinana, Nape.
Sijawahi msikia akiongea anything intellectual.