kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
narudia tena,nina uhakika 100% hilo pori halimilikiwi na taasisi ya umma bali anamiliki mtu mmoja kutoka zile elite family zinazotawala kenya.dude eti who owns that forest?
hamna chenu hapo.

narudia tena,nina uhakika 100% hilo pori halimilikiwi na taasisi ya umma bali anamiliki mtu mmoja kutoka zile elite family zinazotawala kenya.dude eti who owns that forest?

OK...pls nitajie jina la hilo eneo nifanye utafiti wangu....usipotinajia nitatumia maarifa mengine kupata jina la hapo.Ni public. Na elite owners own farms but a good chunk of Kenyans have their farms too, kwani wamerent mashamba ya ushagooo? Almost any Kenyan family has a farrrm

mmebana nani? pengine mmejibana haja kubwaKama haiwezi basi subiri tu 😀😀 safari hii hamutoki kwa tanzania tumewabana kila kona
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
if english language is something of a big deal that makes someone act wise,
we would have seen all english speaking kenyans love each other regardless of their tribal differences.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sheng sio! Na bora imkatae... Maana ni kama MTU kukimbiwa na ulemavu!Sheng imekukataa
narudia tena,nina uhakika 100% hilo pori halimilikiwi na taasisi ya umma bali anamiliki mtu mmoja kutoka zile elite family zinazotawala kenya.
hamna chenu hapo.
![]()
![]()
Kk hiyo ni kama MTU akulazmishe utembee km masanja kwenye comedy... Ulemavu ule.. Km hujui hujui tu.. Hakuna sheng wala shang... Mbn Mombasa wananyoosha muruwa kabisahey buda sio kwamba sinjuangi kubonga sheng,mi ni mubaya jo...but sometimes naignore kubonga ju ni lugha ya ma-jobless, mahaslaz na wakora wa nai.
huwezi pata decent kenyans wakibonga sheng.
Ignorant Tanzanians don't know that the posh Woodley estate is part of kibera. .. up to and including high rise estate.
Ignorant Tanzanians don't know that the posh Woodley estate is part of kibera. .. up to and including high rise estate.
Ha ha ha..that's rich coming from you..if u know what I mean!cape town and johannsburg has slums, brazil has them...even tz has slums in rural areas stop pretending like you live in new york![]()
![]()
![]()
Don't flatter yourself.....Yeah, but we are not an underdeveloped shithole like you guys. Ata ukilialia hapa
Hao ni washamba tu....ukweli unauma si unaona kuitwa washamba wanatokwa povu!Hivi wakenya mnadhani kujua english ndio kunakufanya uwe smart. Nauhakika wengi wenu hamna hata diploma na hamko smart.
With Makeup?! Au ni poda tu na wanja?!kisumu city at night
![]()
![]()
Shida inakuwepo! Unless usodoma unawaingia... Mwambie tu mkuu..not agreeing with him on this does not necessarily make you/me Homophobic.hakuna shida as long as mpo wakenya wenzake mnao muunga mkono.![]()
Hao ni washamba tu....ukweli unauma si unaona kuitwa washamba wanatokwa povu!
Hii hawaioni ..wazungu wale! Asante lkn
Hawa washamba tu ujanja mitandaoni...ukitembea utawajua tu. Njaa kali wakitoka Kenya hawarudi kwao hawa.yani wakenya wanapenda sana kulook down sana watanzania. na tatizo lao ni kukariri.
Anajua Project Management au anadhani wote huku wehu! Ujenge lami ilhali hujakamilisha upanuzi Wa sewer... Na sie sewer line zinapita barabarani... Plus lazima tuzipanue maana upanga haikudesigniwa kuwa na high rise nyingi kiasi hiki... Nilikuwaga naamini wana uelewa mkubwa nao naona Hamna kitu bora akinaniii...hawanaga makuu I swearWewe Upanga unaisikia au unaijua? Barabara zisizo na lami Upanga zinahesabika, tena hizo ni kwamba lami imebomoka. Naweza kukutajia mitaa ya Upanga mmoja mmoja na kukwambia upi una lami upi hauna!
Malik-lami
Mindu-lami
Kalenga-lami
Lugalo-lami
Magore-Lami
United Nations-Lami
Alikhan-Lami
Sea View vibarabara vyote vimewekwa lami.
Isio na Lami ni mitaa midogo kama Undali,Kitonga,Nyangoro etc.
Aliekusimulia mwambie akusimulie vizuri.
Hapa ujenzi ulikuwa bado unaendelea ...Wa jengo lenyewe na ..Barbara BRTPicha ya mwaka gani hio? Una uhakika hapo hamna lami?! Unapajua ni wapi hapo?!