Ushuru Kenjatta
Member
- Dec 8, 2016
- 57
- 13
Stick to your daladala. Tamu irambwe.Huwez kunipandisha fuso, Isuzu, canter trucks zilizotengenezwa maalum kubeba mikungu ya ndizi, nyanya, vitunguu nk eti kwa kuwa limepambwa na mbwembwe za rangi na muziki mkawadanganye hukohuko huku ni bas maalum kutoka kiwandani coaster, Nissan civilian, eicher nk