kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
sio wewe tu,karibia wakenya wote wa jf wanasema jambo hilohilo.Kusema ukweli i have never come across such a product in kenya if thats what you mean by taking over.
ila jambo la kushangaza na kufurahisha,wakenya wengi wa instagram,fb na twitter wanaonekana kuchangamkia kwa kasi sana product ya diamond karanga.
