Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

terrorist😀😀
0f3ca6a0c9c3212ba08bd5476fedf5ca.jpg
wasee wa kulalamika...
 
in aibu sana kwa mnyama jasiri kama simba kusikia eti kuna simba shoga katika nchi.
Simba ni alama ya kenya, kama twiga alivyo kwa Tanganyika, yaani Kenya imetukanwa kuwa ni nchi ya kichoko lakini jamaa wanashangilia.
 
I don't even understand how Tanzanians live with all land belonging to the government....
.
Ki katiba, ardhi ni mali ya watanzania lakini Rais anahodhi hiyo ardhi kwa niaba ya watanzania. Rais anaweza akaichukua ardhi ya mtu kama akiona kufanya hivyo kutakuwa na manufaa mapana kwa watanzania wengi.

Hii ni sera nzuri sana ambayo inahitaji akili ya hali ya juu kuielewa.

Mfano, kama kuna mradi wa maendeleo huko mbeleni na kipande fulani cha ardhi kitahitajika basi serikali inaweza chukuwa ile ardhi na kumlipa fidia yule mtu. Ndiyo maana miradi ya maendeleo Tanzania inafanyika kwa haraka sana na kwa gharama ndogo kuliko kenya.

Wakenya inabidi muelewe, huwezi ukarithi sheria muhimu kama za ardhi kwa wakoloni wakati nchi yenu ni huru.

Waingereza waliweka sera za ardhi katika makoloni yao ili wa wanyonye wazawa, wasipate nafasi ya kuendelea kiuchumi. Bahati nzuri, sisi waTz Rais wetu wa kwanza aliliona hili, kwa kuwa alikuwa na akili nyingi, alitambua kuwa huru wa kweli ni kuondoa sheria za kikoloni.

Nyinyi kwa ujuaji na ulafi wa viongozi wenu mkaziacha hizo sheria za kinyonyaji. Eti mtu anaweza kuwa na nchi kubwa tuu, ndani ya nchi, bila ya serikali kuwa na uwezo wa kukohoa? Matokeo yake wananchi wenu wanashindwa kulisha mifugo yao kwa kukosa malisho, raia wanauawa kwa kosa la kupita kwenye ardhi ya mtu binafsi. Ujinga mtupu!

Nchi zote zenye akili zimeweka sheria kwa serikali kuwa na maamuzi ya mwisho kwenye masuala ya ardhi. Hata Marekani kama hujalipia kodi serikali inaichukua hiyo ardhi.
 
Hii ni mfano tu...almost upanga yote hakuna lami.
Sioni haja ya kujenga maghorofa ilhali nje kumeparara.
.
Baadhi ya barabara za Tz unazoziona zimepauka (parara), mfano za BRT, ni kwasababu zimejengwa kwa zege. Barabara za zege ni gharama kubwa kuzijenga ila hazihitaji ukarabati wa mara kwa mara, wewe kwa kutokujua ukadhani zimepauka. Tembea kijana uione dunia, siyo kila barabara ina lami nyeusi tii.
 
BTW tunampango wa kuja kenya kumchukua yule mmasai ole lenku tumlete tz aje atoe maelezo kuhusu ule ujinga wake aliozungumza.
Kenya is not a banana republic like tz, ug, rwanda or burundi...mtu ana uhuru wa kuijeleza humu..
 
utawala wa JPM kila public service lazima ilipiwe,hakuna kupata raha bure.

utaratibu wa sasa ni kwamba ili upige picha za still au video katika daraja la kigamboni,kwa saa moja itakubidi ulipie tsh 250000.ila kuchukua selfie ni bure.
6440e8172e2e901df30948493c276777.jpg

NB:
wakenya mkija dar es salaam na mkataka kupiga picha kigamboni bridge,you will be required to pay an amount of ksh 11603(tsh 250000) per hour...and ofcos that's the amount paid to kenyan secretaries as month salary.
The problem of being ruled with someone that has alcohol as his name
 
some phone shots from inside the car.....with no make up of cos.....Nairobi is just classy by African standards.....we don't have to force anything
0165be21bf4eaf4f9db4122ad08f0aa9.jpg
c11bd2b22f4a8eba63afb99bb69b48ff.jpg
 
Back
Top Bottom